Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Ha ha ha!
Najaribu kuya phrase maswali katika mfumo ambao utasomeka vizuri, ni sensitive questions, so nataka yasije kuonekana kama ni offense.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi interview yangu huiwezi wewe labda nihojiwe na
Shunie
Sakayo
Emmyta
Ukhuty
Cab
Ney Bright
Hao wataniweza wewe na maswali yako ya Hogo au kibamia mi si sahizi yangu hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jaman my dear nisamehe bure halaf hakuna chochote ujue muinterview alikimbia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi interview yangu huiwezi wewe labda nihojiwe na
Shunie
Sakayo
Emmyta
Ukhuty
Cab
Ney Bright
Hao wataniweza wewe na maswali yako ya Hogo au kibamia mi si sahizi yangu hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chuo gani hamfundishwi kuandika?
Wiki ijayo wii ngoja kimbunga kipite kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23]Woyooooo
Naomba nikufanyie interview jioni
Yani ni balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pm my wii
Halafu leo umepika chai na simu mkononi eeehh
Mimi mpaka kimbunga kipite[emoji23] [emoji23] [emoji23]Cuzoo achana na hizo mambo hata sisi hatuwezi kukuhoji acha tuendelee kuwa wasomaji sisi tutaendelea kuhojiana tukikutana kama kawaida yetu
Aiseee siwezi logwa nije hapa kutiririka utakuwa ni upuuzi wa standard gaugeHizi mambo mpendwa waachie wenyewe,sisi acha tuwe wasomaji na wachangamsha baraza
Yani usinisahau kwenye ufalme wako[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo siku unitag sawa eeh
Ujue umenifanya nicheke kwa sauti kubwa sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Chuo gani hamfundishwi kuandika?
Ujue umenifanya nicheke kwa sauti kubwa sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itakuwa vile vya Kariakoo
Ana boronga balaaKazi hata kusoma nini ameandika!
Tumemwelewa lakini.
Mimi mpaka kimbunga kipite[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuta hojiana pm
Yani usinisahau kwenye ufalme wako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yani ni balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ana boronga balaa
Ulifanya la maana sana Ney ungepoteza bundle bure[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Basi haina shida na mimi nimeskia uvivu hata sijaenda kusoma ni kitu gani kilijiri
Tutajiandaa tu hakuna namnaHiyo siku kushushuliwa njenje[emoji23][emoji23][emoji23]ni kujiandaa tu
Mimi sina interview [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itakuwa vile vyuo vya KKoo.
BTW nataka interview yako nimwombe huyu mwongozaji aniachie kiti.
Mimi sina interview [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi napiga soga tu kama hivi
Nitawawagia siti kabisa usijali[emoji23][emoji23][emoji23]Yani usinisahau kwenye ufalme wako[emoji23] [emoji23] [emoji23]