Natural girls live interview on DJ sepetu show!!

Natural girls live interview on DJ sepetu show!!

Cuzoo huyu muosha naniliuuu ni muongo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alijuaje mi ni mrembo na msomi? Ikiwa hajawahi niona[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Uongo wake tu hapa
Kumbeee cuzoo
 
Hahahaa shunie umemkumbuka shoga yako richaabra..mwenzio ajing'ata huko umemtaja[emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajingate in peace tu
Duh jamani kwahiyo alitaka kukuuzia kesi?
Anatafuta kiki kwa pikipiki!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaanzaje kuniuzia kesi alikua anatapata tapa tu
Stable hukuwepo yaani kilikuwa kichambo kwa kwenda mbele [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mpaka dj kimambi akakimbia baraza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa acha bwana! Kuanzia page gani yametokea? Uzi huuhuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi interview yangu huiwezi wewe labda nihojiwe na
Shunie
Sakayo
Emmyta
Ukhuty
Cab
Ney Bright
Hao wataniweza wewe na maswali yako ya Hogo au kibamia mi si sahizi yangu hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ikibidi tutambadili muongozaji kipindi awe Shunie
sawa mama mimi nimenasia hapa kwenye ushilawadu kama kuna mwingine uniite nisikose uhondo.nisikose tena kama nilivyokosa wa husna the bosslady
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cuzoo achana na hizo mambo hata sisi hatuwezi kukuhoji acha tuendelee kuwa wasomaji sisi tutaendelea kuhojiana tukikutana kama kawaida yetu
Mimi interview yangu huiwezi wewe labda nihojiwe na
Shunie
Sakayo
Emmyta
Ukhuty
Cab
Ney Bright
Hao wataniweza wewe na maswali yako ya Hogo au kibamia mi si sahizi yangu hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ikibidi tutambadili muongozaji kipindi awe Shunie
Juz na majuz lilikuwepo!?
Naweza andaa platform na nikamuita shunie aku host

muosha rungu
 
Mimi interview yangu huiwezi wewe labda nihojiwe na
Shunie
Sakayo
Emmyta
Ukhuty
Cab
Ney Bright
Hao wataniweza wewe na maswali yako ya Hogo au kibamia mi si sahizi yangu hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi mambo mpendwa waachie wenyewe,sisi acha tuwe wasomaji na wachangamsha baraza
 
805b98dbdbcea7d34a48df0dbd7f083d.jpg

DJ sepetu
Hiyo siku unitag sawa eeh
 
Back
Top Bottom