Natural girls live interview on DJ sepetu show!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu majuzi hiyo mfanyiwa interview maswali yetu yalimkera asinijie na I'd ya kiume kuanza kusema nimemtapeli nauli ilikua balaa akaweka na picha zake za peramiho huko ndio shunie mm sasa nikiona mtu hivyo woiii naona yale yale
Duh jamani kwahiyo alitaka kukuuzia kesi?
Anatafuta kiki kwa pikipiki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi interview yangu huiwezi wewe labda nihojiwe na
Shunie
Sakayo
Emmyta
Ukhuty
Cab
Ney Bright
Hao wataniweza wewe na maswali yako ya Hogo au kibamia mi si sahizi yangu hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ikibidi tutambadili muongozaji kipindi awe Shunie
 
Mimi interview yangu huiwezi wewe labda nihojiwe na
Shunie
Sakayo
Emmyta
Ukhuty
Cab
Ney Bright
Hao wataniweza wewe na maswali yako ya Hogo au kibamia mi si sahizi yangu hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unachosema ni nonsense whatsoever hakuna kitu kama hicho hizo allegations ni voids

DJ sepetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu majuzi hiyo mfanyiwa interview maswali yetu yalimkera asinijie na I'd ya kiume kuanza kusema nimemtapeli nauli ilikua balaa akaweka na picha zake za peramiho huko ndio shunie mm sasa nikiona mtu hivyo woiii naona yale yale
Hahahaa shunie umemkumbuka shoga yako richaabra[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] wamtaja mwenzio ajing'ata huko aliko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom