Natural girls live interview on DJ sepetu show!!

Wewe unataka ulete interview kama tunaomba kazi[emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabla ya kum-interview mtu lazima usome profile yake vizuri, na lazima uwe umeongea naye private kujua ni maswali yepi angependa asiulizwe kabisa.

Imagine unamuuliza mtu swali la kwanza anakwambia that is too personal/private, la pili hivyo hivyo na kadhalika, interview itaboa.

I wishi nione interview nyingi za professionals, entrepreneurs na athletes, zikizungumzia jinsi ya ku-struggle kwenye careers husika.

Mfano wewe kwenye ile interview yako ulizungumzia kwa uchache kuhusu shughuli za kupamba na ujasiriamali mwingine, ila hukuwa wazi sana, kuna vitu tungeweza kujifunza kama hadhira, tukashauri pia, si ajabu inaweza kutumika kama uwanja wa kutangaza biashara, imagine ningekuwa niko Bagamoyo na nina shughuli ya kufanya, nisingehangaika nikijua kuna member mwenzangu JF anaweza kuifanya etc etc.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Aiseee mi ni mzee atiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wakati unaweza kumzaa huku umekaa
 
Yah ni kweli kuwa wazi kuna faida zake nyingi na hasara pia! Umenifumbua macho kuhusu maoni yako next time nitafunguka zaidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…