Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku njema.
Ngoja nikatafute mafile ili maswali yawe on point.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe unataka ulete interview kama tunaomba kazi[emoji15]Siku njema.
Ngoja nikatafute mafile ili maswali yawe on point.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]Ulifanya la maana sana Ney ungepoteza bundle bure
Ila Sergio inaonekana we wa 22Miaka 69 bado mdogo[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wakati unaweza kumzaa huku umekaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Aiseee mi ni mzee atiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndyo nimezaliwa mwaka 1922 bamoja na mdogo wangu baba wa taifa nimempita week 2Ila Sergio inaonekana we wa 22
Naomba ile siti ya Jose unipe mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiipata tu yako usikonde
Sio umezaliwa 1995Ndyo nimezaliwa mwaka 1922 bamoja na mdogo wangu baba wa taifa nimempita week 2
Ukweli unaoshabihiana na uongo (paradox)Sio umezaliwa 1995
HahahaWiki ijayo wii ngoja kimbunga kipite kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio umezaliwa 1995
Sio kwa kuwahi hukoooYani ni balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] sio ukweli unaoshabihiana na ukweliUkweli unaoshabihiana na uongo (paradox)
[emoji23] hapana ndyo ni ndyo ya kiutani sio ukweli[emoji23][emoji23][emoji23] sio ukweli unaoshabihiana na ukweli
Yah ni kweli kuwa wazi kuna faida zake nyingi na hasara pia! Umenifumbua macho kuhusu maoni yako next time nitafunguka zaidi!Kabla ya kum-interview mtu lazima usome profile yake vizuri, na lazima uwe umeongea naye private kujua ni maswali yepi angependa asiulizwe kabisa.
Imagine unamuuliza mtu swali la kwanza anakwambia that is too personal/private, la pili hivyo hivyo na kadhalika, interview itaboa.
I wishi nione interview nyingi za professionals, entrepreneurs na athletes, zikizungumzia jinsi ya ku-struggle kwenye careers husika.
Mfano wewe kwenye ile interview yako ulizungumzia kwa uchache kuhusu shughuli za kupamba na ujasiriamali mwingine, ila hukuwa wazi sana, kuna vitu tungeweza kujifunza kama hadhira, tukashauri pia, si ajabu inaweza kutumika kama uwanja wa kutangaza biashara, imagine ningekuwa niko Bagamoyo na nina shughuli ya kufanya, nisingehangaika nikijua kuna member mwenzangu JF anaweza kuifanya etc etc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unafatilia kumbe kimyakimyaHapo umemkuza sana, ukitaka kujua umri wake soma hii thread post no 3.
Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS
Yupo njiani ujue anasafiri si kwa asubui ileSio kwa kuwahi hukooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana ndyo ni ndyo ya kiutani sio ukweli