Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka sana lol. Hivyo hujawai kosa mtoto mzuri mwanzangu.We emmyta Mungu anakuona. Mi nipo nazurura jf am to pm,mchana na usiku,mvua na jua humu hymy jf
Nimefurahi kukuona mumy natumai umzima wa afya. Karibu sana kwenye Show ya Muosha rungu tusafishe macho. [emoji8]