Mkia wenyewe wala siyo wa asilia, lkn unaonekana kuyatikisa majibwa.
Kila mwanafamilia asilia wa kaya hii anajiuliza, kwann mkia huu bandia unatikisa majibwa kiasi hiki? Majibwa haya yatavumilia mtikisiko huu?
Mkia huu bandia umekuwa ukitikisa hata majibwa makubwa ambayo yaliaminiwa hapa kwenye kaya.
Ila sasa tunaona jibwa moja limekataa kwa nguvu mtikisiko wa mkia huu bandia, na limebweka sana. Bila shaka majibwa mengi yatafuata nyayo zake.
My take: Mkia huu wa bandia ung'olewe.