LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Nianze ku declare interest. Nimezaliwa katika familia ya kiislamu/ ukoo wa kiislamu. Tena sio waislamu wa wasiwasi.
But ndani ya nafsi nimesha jivua huo utambulisho wa uislamu.
Siji identify na dini yoyote.
Nimeujua ukweli kuhusu dini zote.
Mungu alie umba Mbingu na ardhi na viumbe wote waliomo ndani yake hahitaji mimi niwe Mkristo wala muislamu ILI eti ndio anipende.
Mungu hajawahi kuwa na Nabii wala Mtume yoyote yule kwa sababu Mungu alimuumba mwanadamu akiwa amekamilika KWA KILA.kitu. ..
Kusema sijui Mungu alimtuma Nabii nani nani sijui KWA watu ni kuidhalilisha sifa ya uungu alio nao..
Mungu angehitaji watu wake wawe kama ambavyo amesema kwenye hayo yanayo itwa maandiko ya watu alio watuma angewapa wanadamu uwezo wa kufanya hivyo toka binadamu wa KWANZA.
Mungu hana watu ambao eti ndio wateule wake eti taifa lake .
Wala hapa duniani hakuna sehemu ambayo ni takatifu kushinda nyingine.
Sehemu zote ni SAWA KWA Mungu.
Back to the point..
Hoja ya waislamu ni kwamba Kitabu chao ndio kimetoka KWA Mungu na sababu yao ni kwamba Kitabu chao hakina makosa..Kitabu chao kimekamilika...
Hapa wanamaanisha kwamba ILI kitu kitajwe kwamba kimetoka KWA Mungu ni lazima kiwe kimekamilika yani kisiwe na kasoro hata kidogo.
Kama jibu ni ndio, waislamu mna.majibu GANI kwa hoja hii?
1. Je binadamu hajawaumbwa na Mungu kwa sababu miongoni mwao wamo walio na mapungufu mfano walemavu wa aina mbalimbali?
2. Waislamu wanasema Qur'aan imekamilika.kwa sababu imetoka KWA Mungu lakini hao hao ndio wa KWANZA kusema " MWAMADAMU NI KIUMBE MWENYE MAPUNGUFU. KIUMBE DHAIFU...
So waislamu mnataka.kusema kwamba KWA Mungu mnae.muabudu ninyi ni muhimu zaidi kwake kushusha Kitabu ambacho kimekamilika.kuliko kuumba binadamu ambae amekamilika?....