Nature is amazing

Nature is amazing

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Nimeiona hii nikaamini kweli nature is amazing, mwenzangu umewahi kuona nini cha asili kikakustaajabisha?
1738501388850.png
 
😂😅
Naamini kuna kitu kimetuharibu binadamu, kama ndege wako hivyo na tunasema hawana utashi, je wenye utashi mbona tunalala kwenye mabox tena Kariakoo
Binadamu anafanya vitu kwa muendelezo huenda anaelala kariakoo kesho ukamkuta kinyerezi na bonge ya nyumba ila hao ndege wao hubaki na maisha hayo ya kutengeneza nyumba muundo wa nyeti maisha yote
 
Back
Top Bottom