Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama matusi vileNimeiona hii nikaamini kweli nature is amazing, mwenzangu umewahi kuona nini cha asili kikakustaajabisha?
View attachment 3222350
Na hili baridi la Leo 🤪Kama matusi vile
Usikae kinyonge ettyyNa hili baridi la Leo 🤪
😊😊😊 Yes my.. tufanye jamboUsikae kinyonge ettyy
Mb zinaisha now nitumie vocha😊😊😊 Yes my.. tufanye jambo
Usijali my , kuna jambo lingine wataka 😊😊Mb zinaisha now nitumie vocha
😂😅Genius sana huyo ndege
Usikute ndie Elon musk wa ndege ndege
Kunguru sidhani kama Wana akili hiyo
Tunawaita hayawani lakini wanaweza kuwa na akili kuzidi mamilioni ya wanadamu duniani koteNimeiona hii nikaamini kweli nature is amazing, mwenzangu umewahi kuona nini cha asili kikakustaajabisha?
View attachment 3222350
HakikaTunawaita hayawani lakini wanaweza kuwa na akili kuzidi mamilioni ya wanadamu duniani kote
Binadamu anafanya vitu kwa muendelezo huenda anaelala kariakoo kesho ukamkuta kinyerezi na bonge ya nyumba ila hao ndege wao hubaki na maisha hayo ya kutengeneza nyumba muundo wa nyeti maisha yote😂😅
Naamini kuna kitu kimetuharibu binadamu, kama ndege wako hivyo na tunasema hawana utashi, je wenye utashi mbona tunalala kwenye mabox tena Kariakoo
Sawa ila kumbuka "kizuri kula na nduguye" baadae usije ukaumia kwa wivuUsijali my , kuna jambo lingine wataka 😊😊
Sipendi upate shida my
Kila ndugu nitamuua.. kuhusu Ile naona kimeenda my 😊Sawa ila kumbuka "kizuri kula na nduguye" baadae usije ukaumia kwa wivu
Nakukumbusha tu mb zinaisha utanikosa onlineKila ndugu nitamuua.. kuhusu Ile naona kimeenda my 😊