Nature preserved! Only for nature lovers

Nature preserved! Only for nature lovers

Screenshot_20211230-152824.jpg
 
Bado hatujajua maana..! Tulikata miti milion 2 ili tujenge bwawa la kufua umeme wa maji.. Imagine miti 2,000,000
Akili ndogo inapopewa nafasi kutawala akili kubwa. Wazi lolote nje ya kichwa chake hatalikubali, inferiority complex.
 
Hapa nadhani tunaangalia faida ya miti 2000000 (for long term) iliyokatwa kama isingekatwa, na hasara yake (baada ya kukatwa), halafu tunaangalia faida ya bwawa la umeme baada ya kuanza kufanya kazi (kuzalisha umeme). Kama faida ya bwawa itakuwa kubwa kuliko miti iliyokatwa, basi maamuzi (decision) yaliofanywa yalikuwa sahihi.
Absolutely
 
Back
Top Bottom