Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ndogo inapopewa nafasi kutawala akili kubwa. Wazi lolote nje ya kichwa chake hatalikubali, inferiority complex.Bado hatujajua maana..! Tulikata miti milion 2 ili tujenge bwawa la kufua umeme wa maji.. Imagine miti 2,000,000
Hapa ni wapi nimepaona kwenye movie mbili hivi. Monster hunters na nyingine siikumbuki
AbsolutelyHapa nadhani tunaangalia faida ya miti 2000000 (for long term) iliyokatwa kama isingekatwa, na hasara yake (baada ya kukatwa), halafu tunaangalia faida ya bwawa la umeme baada ya kuanza kufanya kazi (kuzalisha umeme). Kama faida ya bwawa itakuwa kubwa kuliko miti iliyokatwa, basi maamuzi (decision) yaliofanywa yalikuwa sahihi.
Yeah, this technique poa sana na ni pesa mbele hukoBonsai technique nataka nijifunze nifanye kama nitaweza.