Nature preserved! Only for nature lovers

Nature preserved! Only for nature lovers

FB_IMG_1730263940847.jpg
 
This is how Taiwan builds without harming nature 🤯
FB_IMG_1730831940017.jpg
 
Hapa nadhani tunaangalia faida ya miti 2000000 (for long term) iliyokatwa kama isingekatwa, na hasara yake (baada ya kukatwa), halafu tunaangalia faida ya bwawa la umeme baada ya kuanza kufanya kazi (kuzalisha umeme). Kama faida ya bwawa itakuwa kubwa kuliko miti iliyokatwa, basi maamuzi (decision) yaliofanywa yalikuwa sahihi.
Uko sahihi na kwamba hiyo miti 2M inaweza kupandwa sehemu nyingine ambako italeta faida kubwa zaidi ya ile inayopatikana hapo
 
Back
Top Bottom