Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi na kwamba hiyo miti 2M inaweza kupandwa sehemu nyingine ambako italeta faida kubwa zaidi ya ile inayopatikana hapoHapa nadhani tunaangalia faida ya miti 2000000 (for long term) iliyokatwa kama isingekatwa, na hasara yake (baada ya kukatwa), halafu tunaangalia faida ya bwawa la umeme baada ya kuanza kufanya kazi (kuzalisha umeme). Kama faida ya bwawa itakuwa kubwa kuliko miti iliyokatwa, basi maamuzi (decision) yaliofanywa yalikuwa sahihi.
Umenikumbusha maisha ya bush kwa shangazi na bibi yangu enzi hizo tukienda kuwatembelea likizo