Nature preserved! Only for nature lovers

Ni wazo zuri pia.. Kila kitu kina pande mbili... Hasi na chanya.. Inategemea mizani itaelemea wapi, na nyakati ndio hutoa jibu sahihi na la kweli
Muda haudanganyi......muda utaamua.
Kama tayari ardhini kuna gesi na jua kila siku linatoka,na upepo unapiga tunashindwa kuvuna umeme wake tunakuja kukata miti isiyo na hatia,....muda lazima utatuhukumu
 
Dah hatari sana asee. Dedication iliyowekwa kwenye huo mti mpaka kufikia hapo sio ya kitoto pacha. Watu wana passion na mambo yako.

It's a generation thing. Ni kama urithi wa familia kaa vizazi kadhaa.
Kuna style nyingine inaitwa Terrarium, ukiacha Bonsai, unapanda mimea kwenye bakuli la kioo halafu unaweka maji then unafunika. Mimea ile inakua kwa unyevunyevu wa ndani.

Hii mtu hata kama una getto dogo, unaweza ukafanya kama ni mtu wa kuwa creative.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…