antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda haudanganyi......muda utaamua.Ni wazo zuri pia.. Kila kitu kina pande mbili... Hasi na chanya.. Inategemea mizani itaelemea wapi, na nyakati ndio hutoa jibu sahihi na la kweli
Kuna style nyingine inaitwa Terrarium, ukiacha Bonsai, unapanda mimea kwenye bakuli la kioo halafu unaweka maji then unafunika. Mimea ile inakua kwa unyevunyevu wa ndani.Dah hatari sana asee. Dedication iliyowekwa kwenye huo mti mpaka kufikia hapo sio ya kitoto pacha. Watu wana passion na mambo yako.
It's a generation thing. Ni kama urithi wa familia kaa vizazi kadhaa.
The tallest tree in Wales had been damaged by a storm and was supposed to be cut down ... but chainsaw artist Simon O'Rourke found a better solution to symbolise the tree's last attempt to reach the sky.View attachment 2051718
Hii nayo ni nzuri sana pacha.Kuna style nyingine inaitwa Terrarium, ukiacha Bonsai, unapanda mimea kwenye bakuli la kioo halafu unaweka maji then unafunika. Mimea ile inakua kwa unyevunyevu wa ndani.
Hii mtu hata kama una getto dogo, unaweza ukafanya kama ni mtu wa kuwa creative.View attachment 2069348View attachment 2069349View attachment 2069350
Nitajaribu hii unaweka na nini tena?Kuna style nyingine inaitwa Terrarium, ukiacha Bonsai, unapanda mimea kwenye bakuli la kioo halafu unaweka maji then unafunika. Mimea ile inakua kwa unyevunyevu wa ndani.
Hii mtu hata kama una getto dogo, unaweza ukafanya kama ni mtu wa kuwa creative.View attachment 2069348View attachment 2069349View attachment 2069350