Nature preserved! Only for nature lovers

Nature preserved! Only for nature lovers

Screenshot_20211227-041558.jpg
 
Kwani matumizi ya mkaa, mbao, kuni na kilimo kila siku zinateketea hekta ngapi za miti? Kama umeshafika hapo kwenye Bwawa hakuna athari kubwa kama wanasiasa na wanaharakati walivyokuwa wanatishia, tunakata miti kila kukicha na hatulalamiki
Kila mwaka hapa Tanzania hekta za misitu na mapori 465,000 zinapotea kwa kufyekwa....
 
Back
Top Bottom