Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mwaka hapa Tanzania hekta za misitu na mapori 465,000 zinapotea kwa kufyekwa....Kwani matumizi ya mkaa, mbao, kuni na kilimo kila siku zinateketea hekta ngapi za miti? Kama umeshafika hapo kwenye Bwawa hakuna athari kubwa kama wanasiasa na wanaharakati walivyokuwa wanatishia, tunakata miti kila kukicha na hatulalamiki