Nature preserved! Only for nature lovers

Nature preserved! Only for nature lovers

1640841696130.png
 
Pacha mi nimejifundisha kupitia youtube. Kuna miti ya bonsai inabei mpaka ya dola USD 300,000/=.

Haina ugumu kujifundisha, ni rahisi sana, ila ili ufanikiwe unatakiwa uwe na time, passion ya miti na passion ya vitu vya nature.. hivo tu.
Nitakutafuta pacha tuongee kuhusu hilo. Najua utanifundisha vingi.

Uliadimika kidogo. Natumaini kila kitu kipo okay. Heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
 
Back
Top Bottom