Nature preserved! Only for nature lovers

Nature preserved! Only for nature lovers

Screenshot_20220205-133014.jpg
 
Na ndio maana nikasema makosa mawili hayatengenezi moja sahihi.. Ukataji miti kwa kisingizio chochote kile, iwe ujenzi, mkaa, umeme nk HAUKUBALIKI kwa viwango vyovyote vile.. Wenzetu huko nje wanalia sasa
Tulikuwa na kampeni nzuri sana ya KATA MTI PANDA MITI, Mashuleni tulikuwa na mashindano ya kupanda miti, NGO za kuhamasisha upandaji wa miti na utunzaji wa mazingira zilikuwepo..! Haya yote leo hayapo! Tulikosea wapi kama Taifa?
Na ndio maana nikasema makosa mawili hayatengenezi moja sahihi.. Ukataji miti kwa kisingizio chochote kile, iwe ujenzi, mkaa, umeme nk HAUKUBALIKI kwa viwango vyovyote vile.. Wenzetu huko nje wanalia sasa
Tulikuwa na kampeni nzuri sana ya KATA MTI PANDA MITI, Mashuleni tulikuwa na mashindano ya kupanda miti, NGO za kuhamasisha upandaji wa miti na utunzaji wa mazingira zilikuwepo..! Haya yote leo hayapo! Tulikosea wapi kama Taifa?View attachment 2051977

IMG-20220205-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom