Nauachaje huu mchepuko?

Nauachaje huu mchepuko?

Mimi ni Baba wa watoto watatu, nimeoa ndoa yenye miaka 12 sasa. Kuna sehemu niko nafanya kazi mke wangu naye ni mfanyakazi na ni ngumu kuhama basi tunahisi tofauti.

Hapa ofisini kuna dada nimeanza naye mahusiano ni mwaka 4 sasa, ni kama nimehamia kwake nilipokuwa nimepanga mimi naweza kukaa hata miezi 6 siendi huko, kila mtu anafahamu kuwa huyu ni mke wangu hata ofisini kila kitu tunafanya pamoja wanajua nishaachana na mke wangu.

Wakati nakutana naye nilimuambia kuwa nimeoa na kipindi hicho mke wangu alikua anakuja huku bila shida ila baadaye nilimkataza kwakua ndiyo mimi naenda tu.

Kashanitambulisha kwao na mimi kwetu kuna baadhi ya ndugu wanamfahamu. Anaamini nitamuoa na kweli kuna kipindi mimi na mke wangu mahusiano yaliyumba tukaenda mpaka mahakamani kufuatilia talaka lakini mke aligoma hivyo niliacha mambo ya kufuatilia.

Sababu ya kuja kwako ni hivi, nimemchoka huyu dada na kweli sasa hivi nataka kurudi kwenye ndoa yangu. Naona kama nampotezea mdua ana miaka 33 hana mahusiano mengine ni kama anasubiria mimi kauchana na mke wangu, naona ashaanza kisirani ananichunga kama mke kitu amabcho sitaki!

Shida inakuja kwamba kuna vitu vingi vya maendeleo nimefanya naye, tumejenga nyumba mbili, tuna gari na biashara ambayo kila kitu kina majina yangu lakini yeye alichangia kwani alichukua mpaka mikopo akiamini mimi ni mume wake kwakua tu sina mawasiliano mazuri na mke wangu.

Hofu yangu ni kwamba nikitaka kumuacha atadai mali kitu ambacho siko tayari kumpa. Kuna watu wananishauri kubadilisha hizi mali kuandika majina ya wanangu, nauliza je ana haki yoyote.

Mimi nayeye hatuna mtoto nimekua makini sana kuhakikisha simpi mimba ila yeye ana mtoto alizaa na mwanaume mwingine na tunaishi naye, nimechoka nataka kurudi kwenye familia yangu, je namuondoaje huyu Bibie bila kumpa chochote.

Nimejaribu kuhangaika ili ahamishwe mkoa lakini imekua ngumu, kila nikihangaika anabana. Kwakweli nimechoka haya maisha ya kuishi na mchepuko, nataka kwenda kumchukua mke wangu tuishi pamoja kwani huu umbali mke wangu naye asije kuchepuka, nisaidie nafanya nini?
Rudi kwa mkeo kimya kimya.
Ila punguza UJINGA kwa kuacha mbachao kwa msala upitao. Ujinga mwingine ni kujimwaga kwa mchepuko KUHUSU habari zako na mkeo jambo hili ni baya hata kwenye kikao chetu wanaume Huwa tunalikemea kwa nguvu zote.
KUHUSU mali mwachie kwa roho nyeupe.
 
Mimi ni Baba wa watoto watatu, nimeoa ndoa yenye miaka 12 sasa. Kuna sehemu niko nafanya kazi mke wangu naye ni mfanyakazi na ni ngumu kuhama basi tunahisi tofauti.

Hapa ofisini kuna dada nimeanza naye mahusiano ni mwaka 4 sasa, ni kama nimehamia kwake nilipokuwa nimepanga mimi naweza kukaa hata miezi 6 siendi huko, kila mtu anafahamu kuwa huyu ni mke wangu hata ofisini kila kitu tunafanya pamoja wanajua nishaachana na mke wangu.

Wakati nakutana naye nilimuambia kuwa nimeoa na kipindi hicho mke wangu alikua anakuja huku bila shida ila baadaye nilimkataza kwakua ndiyo mimi naenda tu.

Kashanitambulisha kwao na mimi kwetu kuna baadhi ya ndugu wanamfahamu. Anaamini nitamuoa na kweli kuna kipindi mimi na mke wangu mahusiano yaliyumba tukaenda mpaka mahakamani kufuatilia talaka lakini mke aligoma hivyo niliacha mambo ya kufuatilia.

Sababu ya kuja kwako ni hivi, nimemchoka huyu dada na kweli sasa hivi nataka kurudi kwenye ndoa yangu. Naona kama nampotezea mdua ana miaka 33 hana mahusiano mengine ni kama anasubiria mimi kauchana na mke wangu, naona ashaanza kisirani ananichunga kama mke kitu amabcho sitaki!

Shida inakuja kwamba kuna vitu vingi vya maendeleo nimefanya naye, tumejenga nyumba mbili, tuna gari na biashara ambayo kila kitu kina majina yangu lakini yeye alichangia kwani alichukua mpaka mikopo akiamini mimi ni mume wake kwakua tu sina mawasiliano mazuri na mke wangu.

Hofu yangu ni kwamba nikitaka kumuacha atadai mali kitu ambacho siko tayari kumpa. Kuna watu wananishauri kubadilisha hizi mali kuandika majina ya wanangu, nauliza je ana haki yoyote.

Mimi nayeye hatuna mtoto nimekua makini sana kuhakikisha simpi mimba ila yeye ana mtoto alizaa na mwanaume mwingine na tunaishi naye, nimechoka nataka kurudi kwenye familia yangu, je namuondoaje huyu Bibie bila kumpa chochote.

Nimejaribu kuhangaika ili ahamishwe mkoa lakini imekua ngumu, kila nikihangaika anabana. Kwakweli nimechoka haya maisha ya kuishi na mchepuko, nataka kwenda kumchukua mke wangu tuishi pamoja kwani huu umbali mke wangu naye asije kuchepuka, nisaidie nafanya nini?
Hadi sasa nmeshajua aina ya kifo chako kupitia bainokra ya asili
 
Muache, mzulumu mali mlizochuma pamoja urudi kwa mkeo ukiwa ndani ya jeneza.
 
"Naona kama nampotezea mdua ana miaka 33 hana mahusiano mengine ni kama anasubiria mimi kauchana na mke wangu"

Ili nikushauri futa huo mstari unaoendelea baada ya neno miaka 33....katika andiko lako na kichwani kwako.

What goes around, comes around. Karma is real.
 
Mkuu Yan katika Moja na mbili wew ndo umeyumba hapo.hv mtu kwel huna focus nae inawezekanaj kufanyanae vitu vyote hvo.kiukwel huyo dad anastahili kupata hizo Mali acha tamaa na hiyo itakuwa dhambi mara dufu
 
Kama unayapenda maisha yako Fanya mgawane au umwachie hizo mali au zaa naye... tofauti na hapo Anza kuandika urithi kwa wanao maana kifo hakina muda mlefu kwako.

hata ni Mimi sitoweza kukubali umpotezee muda dada yangu kiasi hicho mbaya zaidi kawekeza fedha zake halafu ufanye uhuni huo, lazima nikufanyie umafia kwa gharama yoyote ile.
 
Gawaneni mali au mwachie ili mkaanze na mkeo moja . Naujue kuwa alikuloga ili umuoe sasa naye mke akawa anafanya yake urudi kwenye ufahamu wako , umerudi sasa kisheria ya nchi ukiishi na mtu ikapita miezi sita hata kama ulioa nimkeo . So juw hilo kuwa lazima umlipe time yake.
Tulia hapo hapo. Wanawake wa aina hiyo wachache Sana.
 
Mimi ni Baba wa watoto watatu, nimeoa ndoa yenye miaka 12 sasa. Kuna sehemu niko nafanya kazi mke wangu naye ni mfanyakazi na ni ngumu kuhama basi tunahisi tofauti.

Hapa ofisini kuna dada nimeanza naye mahusiano ni mwaka 4 sasa, ni kama nimehamia kwake nilipokuwa nimepanga mimi naweza kukaa hata miezi 6 siendi huko, kila mtu anafahamu kuwa huyu ni mke wangu hata ofisini kila kitu tunafanya pamoja wanajua nishaachana na mke wangu.

Wakati nakutana naye nilimuambia kuwa nimeoa na kipindi hicho mke wangu alikua anakuja huku bila shida ila baadaye nilimkataza kwakua ndiyo mimi naenda tu.

Kashanitambulisha kwao na mimi kwetu kuna baadhi ya ndugu wanamfahamu. Anaamini nitamuoa na kweli kuna kipindi mimi na mke wangu mahusiano yaliyumba tukaenda mpaka mahakamani kufuatilia talaka lakini mke aligoma hivyo niliacha mambo ya kufuatilia.

Sababu ya kuja kwako ni hivi, nimemchoka huyu dada na kweli sasa hivi nataka kurudi kwenye ndoa yangu. Naona kama nampotezea mdua ana miaka 33 hana mahusiano mengine ni kama anasubiria mimi kauchana na mke wangu, naona ashaanza kisirani ananichunga kama mke kitu amabcho sitaki!

Shida inakuja kwamba kuna vitu vingi vya maendeleo nimefanya naye, tumejenga nyumba mbili, tuna gari na biashara ambayo kila kitu kina majina yangu lakini yeye alichangia kwani alichukua mpaka mikopo akiamini mimi ni mume wake kwakua tu sina mawasiliano mazuri na mke wangu.

Hofu yangu ni kwamba nikitaka kumuacha atadai mali kitu ambacho siko tayari kumpa. Kuna watu wananishauri kubadilisha hizi mali kuandika majina ya wanangu, nauliza je ana haki yoyote.

Mimi nayeye hatuna mtoto nimekua makini sana kuhakikisha simpi mimba ila yeye ana mtoto alizaa na mwanaume mwingine na tunaishi naye, nimechoka nataka kurudi kwenye familia yangu, je namuondoaje huyu Bibie bila kumpa chochote.

Nimejaribu kuhangaika ili ahamishwe mkoa lakini imekua ngumu, kila nikihangaika anabana. Kwakweli nimechoka haya maisha ya kuishi na mchepuko, nataka kwenda kumchukua mke wangu tuishi pamoja kwani huu umbali mke wangu naye asije kuchepuka, nisaidie nafanya nini?
Anza upya,ushamaliza tamaa uliyoikimbilia ,Mwachie nyumba 1 na gari,au muuze mgawane lakini kuuza na kugawana ni ushamba
Kama unajiamini katika uanaume wako na utafutaji rudisha majeshi kwa mkeo mtafute mali za pamoja.Amini nakuambia mali hizo hazina baraka ukienda kuzitumia na mkeo
 
Wewe nipumbavu and be a

Acha upumbavu wewe kosa LA huyo mwanamke nini kukupenda ? Be a man kama humpendi acha tamaa mpe haki yake na unekiri mmetafuta wote mpaka akachukua mikopo kwa ajili yenu acha wizi mpe anachostahili kwa kua ni jasho lake then Rudi kwa mkeo .Nyinyi ndio sometimes mnafanya wanaume tuonakane shwaini kwa mambo kama haya
 
Back
Top Bottom