VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Hakuna mzalendo hapo, Butiku mwenyewe Nyerere foundation ameigeuza ni mali yake,Warioba kwny Meremeta amehusika na Shoo.Magufuli hana timu yeyote ndani ya ccm ana watu wachumia tumbo waliomzunguka na kumsifia ili kupiga pesa za umma.
Wazalendo wote kama wakina Butiku, Warioba watajiweka pembeni uchaguzi huu, baada ya kumsifia sana 2015 na yeye ku destroy kila kitu.
Watabaki wa kusifia wapiga vinanda na magitaa kama wakina Bashiru, Polepole, Bashite kama hauna njaa huwezi kuunga mkono Magufuli.
Magufuli hana timu niwasaka tonge tu walio mzunguka na siku akiondoka ofisini wataanza kumtukana kama walivyofanya kwa Kikwete.
Mkuu P. Kwa hiyo hata wale waliounga juhudi na wamepewa nyadhifa kubwa kwenye chama na Serikali, nao ni wadangaji?VUTA-NKUVUTE,
Naunga mkono hoja
Uchaguzi wa 2020, zile takataka zote zilizookotwa njia, tupa kule!, twende na tuliotoka nao mbali na sio madanga, wadandiaji wala wale walamba matapishi
Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu! - JamiiForums
Swali Kuhusu Kulamba Matapishi: Kwanini Iwe ni Kinyaa Wakati Matapishi ni Chakula Kile Kile?!. - JamiiForums
P
Yale yote ni madanga tuu!.Mkuu P. Kwa hiyo hata wale waliounga juhudi na wamepewa nyadhifa kubwa kwenye chama na Serikali, nao ni wadangaji?
Wewe mgomvi. 🤣Magonjwa Mtambuka, jingalao mtakua mikoa gani?
Ninataka nikupe moral support wewe ni ndugu yangu. Maendeleo hayana vyama.Wewe mgomvi.
Hujaelewa maana ya timu dogo.Magufuli hana timu yeyote ndani ya ccm ana watu wachumia tumbo waliomzunguka na kumsifia ili kupiga pesa za umma.
Wazalendo wote kama wakina Butiku, Warioba watajiweka pembeni uchaguzi huu, baada ya kumsifia sana 2015 na yeye ku destroy kila kitu.
Watabaki wa kusifia wapiga vinanda na magitaa kama wakina Bashiru, Polepole, Bashite kama hauna njaa huwezi kuunga mkono Magufuli.
Magufuli hana timu niwasaka tonge tu walio mzunguka na siku akiondoka ofisini wataanza kumtukana kama walivyofanya kwa Kikwete.
Hilo liko waziVUTA-NKUVUTE,