Nauchukia Utanzania wangu

Upo sahihi, na kwakiasi flani haupo sahihi.

Kwanza hapa mm sizungumzii siasa cz hii sio siasa n hali halisi.

Zen ulivyokuwa school ulikuwa unajishindanisha na vilaza au vipanga?

Kwanin unataka sisi tujifananishe na vilaza?

Kwanini usitoe mifano mataifa yaliopiga hatua?

Unaiona wapi hii nchi miaka 10 ijayo?

Bro trust me hali inazidi kuwa mbaya
 
huwezi kujifananisha na watu wa dunia ya kwanza, huko ni kuvuka hatua, wenzako ndio hao hao wakina Sudan siku ukifika hata level ya south Africa kiuchumi angalau tunaweza kuweka mada mezani ila kwasasa HAPANA, acha kujifananisha na dunia ya kwanza
 
Basi sawa, angalau dunia y pili bac
 
Hem sema una uzalendo gani wewe, huenda bado unakula na kulala bure...lazima utasema ni mzalendo tu. Kamani critical thinker huwezi kujivunia haya yanayoendelea nchini kwa sasa unless ni mnufaika(sio mzalendo) au kula kwa shkamoo.
Akili kubwa sana hizi….

Kwa hili jibu ulilompa hawez kurudi
 
Wape spana madogo hao,

Wanasubiri baba afe warithi
 
Upo sahihi kqbisa, hawa ndugu zetu wazee wa makanisa na misikiti moto wao wa peke yao huko jehanam….

Unafki mwingi sn, japo sishangai cz hata kwa nyakati za yesu walikuwapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…