Nauchukia Utanzania wangu

Nauchukia Utanzania wangu

Kwahiyo kila mtoa mawazo humu tofauti na Wewe ni chawa? kuwa na adabu aiseee wengine hatujawai kujihusisha na siasa zenu za maji taka, JAMBO la msingi hapa Tanzania Kuna shida ila kuna wengi wenye shida kuliko sisi hii iko wazi kabisaa mfano Sudan sasa hivi wanaishi kama panya, Kuna eneo kama Gaza ni mateso matupu Wewe unashida gani ya kuwazidi watu wa Gaza? Wewe ukiamka unaweza pesa , Nenda huko ukaone watu wakiamka wanawaza mabomu
Upo sahihi, na kwakiasi flani haupo sahihi.

Kwanza hapa mm sizungumzii siasa cz hii sio siasa n hali halisi.

Zen ulivyokuwa school ulikuwa unajishindanisha na vilaza au vipanga?

Kwanin unataka sisi tujifananishe na vilaza?

Kwanini usitoe mifano mataifa yaliopiga hatua?

Unaiona wapi hii nchi miaka 10 ijayo?

Bro trust me hali inazidi kuwa mbaya
 
huwezi kujifananisha na watu wa dunia ya kwanza, huko ni kuvuka hatua, wenzako ndio hao hao wakina Sudan siku ukifika hata level ya south Africa kiuchumi angalau tunaweza kuweka mada mezani ila kwasasa HAPANA, acha kujifananisha na dunia ya kwanza
 
Basi sawa, angalau dunia y pili bac
 
Hem sema una uzalendo gani wewe, huenda bado unakula na kulala bure...lazima utasema ni mzalendo tu. Kamani critical thinker huwezi kujivunia haya yanayoendelea nchini kwa sasa unless ni mnufaika(sio mzalendo) au kula kwa shkamoo.
Akili kubwa sana hizi….

Kwa hili jibu ulilompa hawez kurudi
 
Mm najitambua ndomaana nimeleta uzi mezani wenye fikra pana na fikilishi,

Ww mwenza umeleta moja tu kujitambua.

Au umepotea uzi unadhani umekuja hapa kuelimisha rika?

Brother this is strong thread inahitaji critical thinking, na sio nonsense stuffs
Wape spana madogo hao,

Wanasubiri baba afe warithi
 
Siku hizi hakuna tena viongozi wa dini waadilifu bali kuna wapiga dili.

Ccm nao kwa kulijua hilo wanatumia huo mwanya kuwarubuni kwa kutumia pesa za mkopo wanaokopa kila uchwao, ambazo mwisho wa siku atazilipa mlala hoi.
Maana nyingine kupitia dini tunajikaanga kwa mafuta yetu.
Upo sahihi kqbisa, hawa ndugu zetu wazee wa makanisa na misikiti moto wao wa peke yao huko jehanam….

Unafki mwingi sn, japo sishangai cz hata kwa nyakati za yesu walikuwapo..
 
Back
Top Bottom