politics observer
JF-Expert Member
- Jun 18, 2024
- 385
- 299
Hao mchwa ndo sitaki hata kuwasikiaViongozi wa dini nao wameingiza vichwa chini ya mchanga na kuona Kila kitu Iko sawa,wengine wanatetea Kila kitu. Huku nchi inazama na jiwe zito liitwalo matrilion