Nauli na mafao ya askari wastaafu kucheleweshwa ni mateso

Wakati wenzenu wanahangaika hadi kufuga kuku na kulima nyanya nyie mnakuaga bize kuwapiga na kuwachukulia vihela vyao kwa rushwa zenu, kibaya zaidi mnahangaika na siasa ambazo hata haziwahusu, hiii ndio malipo yake , mkiwanga na mayunifomu mnakuaga kama vile kufa hakuna wala kustaafu , pambaneni na hali zenu wazoea vya kunyonga nyinyi
 

mkuu tafuta hela,polisi watakuchanganya tu.
 
Mnatakiwa mteseke haswa kwa sababu badala ya kuwatumikia wananchi huwa mko busy kuwatumikia CCM.Hiyo ni laana ya maovu yenu pamoja na maonevu yenu inawatafuna
 
Usituulize Sisi waulize uliowabambikia kesi bila hatia ,uliowapora haki zao kibabe.....uliowatishia wakati wewe ni kapuku Tu.....na bado hiyo pesa isitoke kabisa ......maana polisi ninyi ni majibwa wakubwa
 
Tena ingekuwa amri yangu ningesema wasilipwe kabisa.

Hii kucheleweshewa naona bado ni favor wanapata.

tatizo zikichelewa hata wale wastaafu waliokuwa wema wanaumia.

chuki zenu kwa wenue roho mbaya,zisifanye mkawa kama wanawake wajawazito.
 
tatizo zikichelewa hata wale wastaafu waliokuwa wema wanaumia.

chuki zenu kwa wenue roho mbaya,zisifanye mkawa kama wanawake wajawazito.
Ulijuaje wanawake wajawazito wana chuki?

Oh sorry kumbe wewe ni mama....
 
Wapinzani wangekuwepo bungeni wangewatetea Askari lakini Askari hao hao ndio walishirikiana na wanaowacheleweshea nauli/mafao kuukandamiza upinzani.
Mtajua hamjui.
Nendeni mkale mlikopeleka mboga
 
Nimeshangaa sana hilo tangazo.. Yaani 2021 bado sector muhimu kama police wanaprefer division 4? Sijui kwanini hawakuacha wazi watu waombe, wapembue wenyewe huko.. Kuliko kusema wanataka division 4?
Umenena vyema.
Div foo akafanye upelelezi mahali ambapo div one akauntant amekwapua pesa.
Kumbe matrafik wote Ni division foo. Now we know.
 
Mimi kwa skari hawa wetu, nashauri hata wasipewe hizo hela. Wameshadhulumu sana watu, acha nao walipwe dhuluma.
 
Hawa Miungu watu wasilipwe kabisaaaa!!! Tena wakae huko huko kwenye mabati yao wana roho mbaya sana hawa.
 
Usihofu mleta mada hizo hela za kuwarudisha huko wanakoenda kufia tutakuwa tunawapa sisi ambao ndugu zetu walibambikiwa kesi na hao maharamia
 
Nimeshangaa sana hilo tangazo.. Yaani 2021 bado sector muhimu kama police wanaprefer division 4? Sijui kwanini hawakuacha wazi watu waombe, wapembue wenyewe huko.. Kuliko kusema wanataka division 4?
hawataki ma officers wanataka askari wawe wa daraja la chini siku hizi kila mtu anataka awe na nyota kazi za koplo atafanya nani na ma sajenti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…