malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
JF pia ni sehemu ya Google Kama hujuiUliza google itakupa jibu sahihi....usipende kuambiwa na watu na Bando unalo.
Ulitakiwa uje na jibu na sio porojo,uelewa wako ni mdogo kwa hiyo hii forum ni search engine?JF pia ni sehemu ya Google Kama hujui
Acha ujuaji dogo wewe kama haujui si unyamaze tu mbona una shobo au wewe ni muha?Ulitakiwa uje na jibu na sio porojo,uelewa wako ni mdogo kwa hiyo hii forum ni search engine?
Yaani Jf,Nairaland,Gsm forum,n.k ni SAWA na Google,Bing,n.k acha utopolo.
Damn foolUliza google itakupa jibu sahihi....usipende kuambiwa na watu na Bando unalo.
Mbona mnapoteza maana ya hii forum , google itakupa general idea ya nauli na safari wakati humu wadau wanaeza kupa hadi jina la ndege yenye ticket nafuu pamoja na changamoto zake.Uliza google itakupa jibu sahihi....usipende kuambiwa na watu na Bando unalo.
380 inakuwa ni class gani? Kuna wafanyabiashara wa china wana fly bussiness class ?380-1500 USD..
Itategemea na aina ya ndege na class unayochagua....hii ni mpaka guangzhou..
Mpaka beijing inafka mpaka 2000 Usd..
ingia ticket.com
Acha ujingaUliza google itakupa jibu sahihi....usipende kuambiwa na watu na Bando unalo.
$380 kwenda China? Labda kapuku class?380 inakuwa ni class gani? Kuna wafanyabiashara wa china wana fly bussiness class ?
Mjinga ni wewe.Acha ujinga
Google haiwezi kukupa ndege ya bei nafuu?Mbona mnapoteza maana ya hii forum , google itakupa general idea ya nauli na safari wakati humu wadau wanaeza kupa hadi jina la ndege yenye ticket nafuu pamoja na changamoto zake.
Haya uliza nauli ya kutoka kigonsera hadi namtumbo uone kama google ina jibu lake!
Acha ulimbukeni.Damn fool
Kumwambia aulize google ndio imekuwa limit ya kutokujibiwa hapa?Acha ujuaji dogo wewe kama haujui si unyamaze tu mbona una shobo au wewe ni muha?
Nipe nauli ya kutoka tinde hadi sirari kwa kutumia hiyo googleGoogle haiwezi kukupa ndege ya bei nafuu?
Sio kwamba ukiandika huwezi pata bei,kitu kimoja nimemjibu jamaa kwa upande wangu sio kwamba nimemfungia uzi wake watu wasimpe bei ya nauli....naona tukitofautiana mtazamo na maoni inakuwa vita.Nipe nauli ya kutoka tinde hadi sirari kwa kutumia hiyo google