Kaselele
Senior Member
- May 19, 2022
- 171
- 476
Mara nyinyi ukiona option ya nauli ya chini transit inakuwa ndefu sanaaaaaaa.380 inakuwa ni class gani? Kuna wafanyabiashara wa china wana fly bussiness class ?
Ila mda mwingine just kunakuwa na offer tu.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app