Nauli ya China kwenda na kurudi kwa Sasa ni Dola ngapi?

Atakuwa MUHA au kimtu kifupi sana. Vina roho mbaya sana
We huna akili,kwa hiyo akili zako zimeishia hapo kukuaminisha Waha na watu wafupi ndio wenye robo mbaya basi itoshe kusema wewe ni mbumbumbu.
 
Sio kama umeongea tofauti? Transit ikiwa ina vituo vingi na nauli lazima ichangamke !!
Sio kama unakuwa na transit nyingi, unakaa transit kwa mda mrefu kusubiria ndege nyengine. Kwa mfano unaweza kufika let say Adis Ababa saa moja asubuhi lakini ukaondoka saa moja usiku kuendelea na safari

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Naielewa hiyo ila mara kadhaa nimeona kwangu inakuwa gharama nikiopt stopovers .
Kuna siku nilikuwa naenda jhb nikaamua nipande ethiopian ambayo ilikuwa ina vituo vitatu hadi jhb. ilikuwa ndio expensive one kuliko ile ambayo stip over ni moja tu ya bole airport.
 
We huna akili,kwa hiyo akili zako zimeishia hapo kukuaminisha Waha na watu wafupi ndio wenye robo mbaya basi itoshe kusema wewe ni mbumbumbu.
Sawa,toa jibu la nauli Sasa acha na roho za kimaskini. Vinginevyo wewe ni Muha au kamtu Fulani hivi kafupi kama soda.
 
Back
Top Bottom