Nauli ya China kwenda na kurudi kwa Sasa ni Dola ngapi?

Nauli ya China kwenda na kurudi kwa Sasa ni Dola ngapi?

Ulitakiwa uje na jibu na sio porojo,uelewa wako ni mdogo kwa hiyo hii forum ni search engine?
Yaani Jf,Nairaland,Gsm forum,n.k ni SAWA na Google,Bing,n.k acha utopolo.
Acha ujuaji dogo wewe kama haujui si unyamaze tu mbona una shobo au wewe ni muha?
 
Uliza google itakupa jibu sahihi....usipende kuambiwa na watu na Bando unalo.
Mbona mnapoteza maana ya hii forum , google itakupa general idea ya nauli na safari wakati humu wadau wanaeza kupa hadi jina la ndege yenye ticket nafuu pamoja na changamoto zake.
Haya uliza nauli ya kutoka kigonsera hadi namtumbo uone kama google ina jibu lake!
 
380-1500 USD..
Itategemea na aina ya ndege na class unayochagua....hii ni mpaka guangzhou..

Mpaka beijing inafka mpaka 2000 Usd..

ingia ticket.com
380 inakuwa ni class gani? Kuna wafanyabiashara wa china wana fly bussiness class ?
 
Mbona mnapoteza maana ya hii forum , google itakupa general idea ya nauli na safari wakati humu wadau wanaeza kupa hadi jina la ndege yenye ticket nafuu pamoja na changamoto zake.
Haya uliza nauli ya kutoka kigonsera hadi namtumbo uone kama google ina jibu lake!
Google haiwezi kukupa ndege ya bei nafuu?
 
Acha ujuaji dogo wewe kama haujui si unyamaze tu mbona una shobo au wewe ni muha?
Kumwambia aulize google ndio imekuwa limit ya kutokujibiwa hapa?
Ujuaji unao wewe, halafu usiniite dogo na hunifahamu.
 
Kata Kenya airways ndo wana bei rahis, mm nlipata kwa 916
 
Nipe nauli ya kutoka tinde hadi sirari kwa kutumia hiyo google
Sio kwamba ukiandika huwezi pata bei,kitu kimoja nimemjibu jamaa kwa upande wangu sio kwamba nimemfungia uzi wake watu wasimpe bei ya nauli....naona tukitofautiana mtazamo na maoni inakuwa vita.
Jamaa kaja kamjibu fresh tu haina tatizo,kila mmoja ana haki ya kutoa maoni yake auto lazima tufanane mawazo.
 
Kuliko kuuliza humu JF ukaambulia matusi na kejeli za hapa na pale, ni vyema ungemuuliza hata chatGPT angekupa majibu mujarab kabisa tena mpaka hoteli angekushauri ipi ya kufikia kwa kipato chako cha ungaunga mwana. Sawa wewe Msukuma?
 
Jf kuna watu wameingia wajuaji saaaana.
Kujibu swali hilo kama unajua majibu mnaona taabu mnakuja na kejeli sijui google sijui nn.
Kauliza ajibiwe.
 
Back
Top Bottom