Mara nyinyi ukiona option ya nauli ya chini transit inakuwa ndefu sanaaaaaaa.380 inakuwa ni class gani? Kuna wafanyabiashara wa china wana fly bussiness class ?
Sio kama umeongea tofauti? Transit ikiwa ina vituo vingi na nauli lazima ichangamke !!Mara nyinyi ukiona option ya nauli ya chini transit inakuwa ndefu sanaaaaaaa.
Ila mda mwingine just kunakuwa na offer tu.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Mambo ndo haya sasa !Kata Kenya airways ndo wana bei rahis, mm nlipata kwa 916
We huna akili,kwa hiyo akili zako zimeishia hapo kukuaminisha Waha na watu wafupi ndio wenye robo mbaya basi itoshe kusema wewe ni mbumbumbu.Atakuwa MUHA au kimtu kifupi sana. Vina roho mbaya sana
Kuna mijitu kazi Yao ni kuleta ubishi na ujuaji,wakati kama huna jibu sahihi ni Bora kukaa kimyaComments page 3 ila majibu ya swali amejibu mtu mmoja
Sio kama unakuwa na transit nyingi, unakaa transit kwa mda mrefu kusubiria ndege nyengine. Kwa mfano unaweza kufika let say Adis Ababa saa moja asubuhi lakini ukaondoka saa moja usiku kuendelea na safariSio kama umeongea tofauti? Transit ikiwa ina vituo vingi na nauli lazima ichangamke !!
Naielewa hiyo ila mara kadhaa nimeona kwangu inakuwa gharama nikiopt stopovers .Sio kama unakuwa na transit nyingi, unakaa transit kwa mda mrefu kusubiria ndege nyengine. Kwa mfano unaweza kufika let say Adis Ababa saa moja asubuhi lakini ukaondoka saa moja usiku kuendelea na safari
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Sawa,toa jibu la nauli Sasa acha na roho za kimaskini. Vinginevyo wewe ni Muha au kamtu Fulani hivi kafupi kama soda.We huna akili,kwa hiyo akili zako zimeishia hapo kukuaminisha Waha na watu wafupi ndio wenye robo mbaya basi itoshe kusema wewe ni mbumbumbu.