sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Hujui nyamaza acha ujuaji wa kipuuziUliza google itakupa jibu sahihi....usipende kuambiwa na watu na Bando unalo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui nyamaza acha ujuaji wa kipuuziUliza google itakupa jibu sahihi....usipende kuambiwa na watu na Bando unalo.
ukisearch wanakuletea ule mkeka wa LATRA wenye nauli elekezi kote TZ. Una lingine labda?Nipe nauli ya kutoka tinde hadi sirari kwa kutumia hiyo google
Unavijitabia vya kike sanaKumwambia aulize google ndio imekuwa limit ya kutokujibiwa hapa?
Ujuaji unao wewe, halafu usiniite dogo na hunifahamu.
Kabla ya google hawajaweza kukupa jibu sahihi ni lazima watumie watu kutoa feedbacks . Majibu ya google yanatokana na maoni ya watu binafsi.Sio kwamba ukiandika huwezi pata bei,kitu kimoja nimemjibu jamaa kwa upande wangu sio kwamba nimemfungia uzi wake watu wasimpe bei ya nauli....naona tukitofautiana mtazamo na maoni inakuwa vita.
Jamaa kaja kamjibu fresh tu haina tatizo,kila mmoja ana haki ya kutoa maoni yake auto lazima tufanane mawazo.
Wewe ndio Unatabia za kike.Unavijitabia vya kike sana
Hajakwambia jf ni search ingineUlitakiwa uje na jibu na sio porojo,uelewa wako ni mdogo kwa hiyo hii forum ni search engine?
Yaani Jf,Nairaland,Gsm forum,n.k ni SAWA na Google,Bing,n.k acha utopolo.
Safi mkuu tumeelewana bora wewe tunaelewana na binadamu anakosea,nimekupata vema.Kabla ya google hawajaweza kukupa sahihi ni lazima watumie watu kutoa feedbacks . Majibu ya google yanatokana na maoni ya watu binafsi.
Mtu anapouliza swali hapa maana yake ni kuwa ni kuwa anatafuta jibu sahihi kwa njia ya mkato kuliko angepitia huko google.
Ni sawa tu na mtu apotee njia aje nymbani kwako anakuelekeza anakokwenda na wewe unakujua badala ya kumuelekeza afike unamwambia aruudi nyuma akasome kibao cha mtaa
Wanangu wa Kaigo.................Mbona mnapoteza maana ya hii forum , google itakupa general idea ya nauli na safari wakati humu wadau wanaeza kupa hadi jina la ndege yenye ticket nafuu pamoja na changamoto zake.
Haya uliza nauli ya kutoka kigonsera hadi namtumbo uone kama google ina jibu lake!
Sasa mambo ya matusi yanatoka wapi?Hajakwambia jf ni search ingine
Zingatia sana
Umeambiwa jf ni sehemu ya search ingine tu
Kwa maana data za humu hutumiwa na google
Huoni kama njia rahisi ni kwa mtu anayeijua. Hiyo nauli akaleta jibu hapa kuliko hiyo njia ya latra ambayo kwanza haina uhakikaukisearch wanakuletea ule mkeka wa LATRA wenye nauli elekezi kote TZ. Una lingine labda?
Umekosea mkuu, Jeiefu anaweza kupata maelezo mazuri Kwa alichokiuliza, Yes gugu (Makala voice) Ina vitu vingi ila kuuliza hapa si vibaya, samtaimzi tuwe positive tuUliza google itakupa jibu sahihi....usipende kuambiwa na watu na Bando unalo.
Sasa nini maana ya JFUliza google itakupa jibu sahihi....usipende kuambiwa na watu na Bando unalo.
Aisee!Huoni kama njia rahisi ni kwa mtu anayeijua. Hiyo nauli akaleta jibu hapa kuliko hiyo njia ya latra ambayo kwanza haina uhakika
Jf ina maana sana,pia humu humu watu wanaenda kutafuta majibu google wanayaleta hapa,Nimeeleweka tofauti,sijapinga majibu ya humu.....humu kuna mtu anaweza kuuliza swali na asijibiwe tena mambo ya Msingi sana,Kama umekosa majibu au huelewi ndio uje hapa kuuliza...sijakataza watu wasiulize au nionekane ni mjuaji hapana.Sasa nini maana ya JF
Pamoja sana,Sina tatizo mkuu na watu kama wewe ambao mnaeleweshana kiubinadamu sio mtu anakuja kukutukana kisa umekosea....sikuwa na nia mbaya kwa jamaa kuna wengine wanauliza humu hawajibiwi.Umekosea mkuu, Jeiefu anaweza kupata maelezo mazuri Kwa alichokiuliza, Yes gugu (Makala voice) Ina vitu vingi ila kuuliza hapa si vibaya, samtaimzi tuwe positive tu
Ngosha Tena🤣🤣🤣🤣Kuliko kuuliza humu JF ukaambulia matusi na kejeli za hapa na pale, ni vyema ungemuuliza hata chatGPT angekupa majibu mujarab kabisa tena mpaka hoteli angekushauri ipi ya kufikia kwa kipato chako cha ungaunga mwana. Sawa wewe Msukuma?
Pamoja sana,Sina tatizo mkuu na watu kama wewe ambao mnaeleweshana kiubinadamu sio mtu anakuja kukutukana kisa umekosea....sikuwa na nia mbaya kwa jamaa kuna wengine wanauliza humu hawajibiwi.
Wewe ni mtoto ndio maana umejibu vile wewe kama sio mtu wa kigoma basi utakuwa ni kutoka bukoba kwasababu watu wa sehemu hizo wanaujuaji mwingiKumwambia aulize google ndio imekuwa limit ya kutokujibiwa hapa?
Ujuaji unao wewe, halafu usiniite dogo na hunifahamu.
Atakuwa MUHA au kimtu kifupi sana. Vina roho mbaya sanaAcha ujuaji dogo wewe kama haujui si unyamaze tu mbona una shobo au wewe ni muha?