project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,545
Mimi nilisafiri Dar Moshi 37,000/= luxury 40,000/= kilimanjaro express hii 23,000/= ni nauli ya lini mkuu?30000 usilipe zaid ya hapo ila kuna magar hadi 23000
Mimi nilisafiri Dar Moshi 37,000/= luxury 40,000/= kilimanjaro express hii 23,000/= ni nauli ya lini mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23]saibaba ndio wamefikiaa ukooo mkuu..maishaa hayaaa daaaaPanda BM,EXTRA AU ESTER HUTOJUTIA BEI 37000,
ILA UKITAKA MSEREREKO PANDA SAIBABA NAULI MAONGEZI YAKO NA KONDA MPAKA 15000
Kwa nauli hizo labda apande Harambee au Masama Serengeti (sijui kama bado yapo)30000 usilipe zaid ya hapo ila kuna magar hadi 23000
Saibaba atatumia siku nzima njianiPanda BM,EXTRA AU ESTER HUTOJUTIA BEI 37000,
ILA UKITAKA MSEREREKO PANDA SAIBABA NAULI MAONGEZI YAKO NA KONDA MPAKA 15000
23000 hyo ilikuwa ya miaka kumi iliyopitaMimi nilisafiri Dar Moshi 37,000/= luxury 40,000/= kilimanjaro express hii 23,000/= ni nauli ya lini mkuu?
Aisee tena niliwapigia Esther nikaambiwa nauli 45,000 na hamna maongezi kubargain. DuhHuwa mnapigwa tu napanda ester nikiwa naenda dar natoa25 nikiwa naludi hadi 20000 napanda
UngewakaziaAisee tena niliwapigia Esther nikaambiwa nauli 45,000 na hamna maongezi kubargain. Duh
Ni mjinga tu anayemiliki simu ambayo majibu yote anayoyataka atayapata kwenye hiyo simu anakuja kuwauliza watu wamtafutie jibu lililomo ndani ya simu yake pia!Wakuu kwema,
Nina safari kidogo ya kutoka Dar es Saalam kwenda Arusha naomba kujua bei ya nauli ya kutoka Dar kwenda Arusha na basi gani?
Umesahau kwamba haya majibu ameyapata ndani ya simu yake pia? Au amefunga safari kuja kwako? Fikiri kwa kina.Ni mjinga tu anayemiliki simu ambayo majibu yote anayoyataka atayapata kwenye hiyo simu anakuja kuwauliza watu wamtafutie jibu lililomo ndani ya simu yake pia!
Hili jibu, shikamoo Darren2019 😀Umesahau kwamba haya majibu ameyapata ndani ya simu yake pia? Au amefunga safari kuja kwako? Fikiri kwa kina.