Nauli ya Dar es Salaam - Arusha ni kiasi gani?

Nauli ya Dar es Salaam - Arusha ni kiasi gani?

Ni mjinga tu anayemiliki simu ambayo majibu yote anayoyataka atayapata kwenye hiyo simu anakuja kuwauliza watu wamtafutie jibu lililomo ndani ya simu yake pia!
Akili za mpumbavu hufikiria pafupi siku zote
 
Umesahau kwamba haya majibu ameyapata ndani ya simu yake pia? Au amefunga safari kuja kwako? Fikiri kwa kina.
Wewe na huyo ni walewale, hizi ni enzi za tiketi mtandao ndani ya ukataji tiketi mtandao ndimo nauli zimo kulingana na aina ya basi.
 
nilienda dar mwezi uliopita nauli BM nikalipa 40k, nikarudi arusha na BM nikalipa 45k, tofauti ya gari nililoenda nalo na kurudi nalo ni siti za gari..za 45k zilikua very comfortable
 
Kwa nauli hizo labda apande Harambee au Masama Serengeti (sijui kama bado yapo)

Ila kwa magari yenye uhakika wa safari akina Kilimanjaro, BM, Extra, Marangu Kidia n.k n.k, aandae kuanzia 33k mpaka 40..
Uhakika unamaanisha nini. Hakuna basi halifiki Arusha mengine ni mbwembwe tu za biashara
 
Andaa kama 50,000/=. Hapo ni nauli ya basi. Pesa ya chakula njiani na ya usafiri wa kukutoa stand kukupeleka utakapofiki na pesa ya mawasiliano. Na chenji itabakia.

Nauli itategemea umepanda basi la kampuni gani. Gari nyingi za ruti ya Arusha ni nzuri. Nauli kipindi hiki cha sikukuu za pasaka sidhani kama itapanda sawa na kipindi cha Christmas.

Ila bargain kuanzia 20,000/= then usizidi 23,000/=.
Mkuu mara ya mwisho kusafiri hiyo route ilikuwa lini? Na ulipanda Bus la kampuni gani kwa hiyo nauli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabasi ya Arusha 90% ni mazuri ya quality nauli inaanzia40. Chini ya hapo utapanda zile rejects
 
Back
Top Bottom