Nauli ya Dar to Njombe

Nauli ya Dar to Njombe

blind fighter

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
62
Reaction score
82
Wakuu nataka kwenda njombe, naombeni kujua nauli ni sh ngapi kwa MTU anayetokea Dar. Na vipi, nauli za magari/usafiri Wa mchana ni Sawa na nauli ya usafiri Wa usiku? Na pia kama kuna yeyote anayejua magari ya usiku Dar to njombe (magari ya kawaida, sio luxury) basi naomba aniambie ni yapi.
Nawasilisha.
 
umbali kama huu ilipaswa upande ndege...

lakini kwa vile ni mbongo masikini mvuja jasho atataka safari ya gari afike mgongo unauma miguu imevimba kama mjamzito

Screenshot_20241201-230803.jpg
 
1. ABC - Kituo Manzese - Nauli elfu 48
2. Sweet Africa/Luwinzo - Kituo Mbagala - Nauli elfu 48
3. Njombe Express - Kituo SheikhKilango - Nauli elfu 48

Yote yana route za mchana na usiku nauli ni sawa. All the best 👍
 
Back
Top Bottom