Nauli ya treni ya kasi Kenya ni Tsh. 400,000 wakati ya Tanzania ni Tsh. 100,000. Kwa nauli hizo Gen Z wapo sahihi

Nauli ya treni ya kasi Kenya ni Tsh. 400,000 wakati ya Tanzania ni Tsh. 100,000. Kwa nauli hizo Gen Z wapo sahihi

Kwa SGR ni kilometa 472 ama 293 miles.
Sijasema mimi bali vyombo vyao vya KR hata ukiingia katika blog yao ya KR wanakwambia journey takes 6 hours in a distance coverage of 472 kms.
We hizi km 600 umetoa wapi!?
Kaka dunia hii ya utandawazi still unadanganya!?
Sawa mkuu turudi kwenye fare yake mkuu?
 
Jidanganye mzee.
Kenya ina masikini ambao kila uchwao wanalalamika upandaji bei wa vyakula na tozo zisizo na maana.

sijasema kwamba kenya siyo masikini la hasha, bali nimesema middle class ya kenya ni kubwa klk tanzania, it’s a fact …
 
sijasema kwamba kenya siyo masikini la hasha, bali nimesema middle class ya kenya ni kubwa klk tanzania, it’s a fact …
Aya mkuu japo kiuhalisia tunakutana na Wakenya hapa Dar uhalisia wanausema.
 
unasahau labda kenya wana kipato kikubwa klk tanzania, kenya kuna middle class kubwa zaidi kwa mbali sana tu kulinganisha na tanzania, uki factor in hiyo utaona labda tofauti wala siyo kubwa kiivyo …
Middle class kubwa ndio hao wanauana huko? 😂😂
 
Aya mkuu japo kiuhalisia tunakutana na Wakenya hapa Dar uhalisia wanausema.

kuna wakenya wengi sana tu masikini lkn haibadilishi ukweli kwamba middle class kenya ni kubwa zaidi ya ya kwetu, unaweza kuona kila mahali mfano binafsi huwa nashangazwa mwezi december holliday season magari ya wakenya weusi yameongozana yanakuja tz for hollidays, sijawahi kuona watanzania wakienda holliday wengi tunaenda likizo vijijini, fanya tu utafiti subiri december nenda kwenye mahoteli ya kitalii utakuta wakenya weusi wengi na familia zao wamekuja holliday tanzania, ilinishangaza sana …
 
kuna wakenya wengi sana tu masikini lkn haibadilishi ukweli kwamba middle class kenya ni kubwa zaidi ya ya kwetu, unaweza kuona kila mahali mfano binafsi huwa nashangazwa mwezi december holliday season magari ya wakenya weusi yameongozana yanakuja tz for hollidays, sijawahi kuona watanzania wakienda holliday wengi tunaenda likizo vijijini, fanya tu utafiti subiri december nenda kwenye mahiteli ya utalii utakuta wakenya weusi wengi na familia wamekuja holliday tanzania, ilinishangaza sana …
Tuna mtindo tofauti pia wa maisha mkuu.
 
Naona ushindani wa bei humu, nani mkweli wa bei ya hiyo SGR ya Kenya?
Mkuu ukitaka ripoti tunakuletea .
Kenya imeleta mabehewa mapya ya VVIP ambayo behewa moja litabeba mwisho abiria 28 tu na bei yake ndio hiyo tajwa 20k ya kikenya.
Ambayo kwa kwetu itakua chini ya hapo.
 
Mkuu ukitaka ripoti tunakuletea .
Kenya imeleta mabehewa mapya ya VVIP ambayo behewa moja litabeba mwisho abiria 28 tu na bei yake ndio hiyo tajwa 20k ya kikenya.
Ambayo kwa kwetu itakua chini ya hapo.
Ni 20,000 au 12,000 mkuu
 
Ikiwa nauli ya SGR Treni ya mwendokasi ya Kenya inayotumia diesel mwa umbali wa Nairobi-Mombasa ni Tsh. 400,000 wakati Kwa umbali huo huo wa Dar-Makutopora Kwa SGR ya umeme ya Tanzania ni Tsh. 100,000.

Hata ungekuwa wewe ni Gen Z utaacha kuandamana kweli na kusema Ruto Must go?😂😂😂😂

--
Wizara ya Uchukuzi nchini Kenya imetangaza nauli ya treni ya abiria ya Reli ya Kisasa (SGR) ya Nairobi-Mombasa kwa tiketi ya daraja la juu (premium) kuwa Ksh 20,000 [TZS laki 4] kwa safari ya kwenda na kurudi.

Huduma zitakazotolewa ni pamoja na viti vya umeme vinavyoweza kukunjwa na kuzunguka, sehemu za kuchaji, sehemu maalum kwa ajili ya kunyonyesha na kubadilishia watoto, vyoo na vifaa vya usaidizi kwa ajili ya wazee na walemavu.

My Take
Tanzania ni Nchi ya maziwa na asali.
SGR Yao inatumia umeme au Diesel!
 
kuna wakenya wengi sana tu masikini lkn haibadilishi ukweli kwamba middle class kenya ni kubwa zaidi ya ya kwetu, unaweza kuona kila mahali mfano binafsi huwa nashangazwa mwezi december holliday season magari ya wakenya weusi yameongozana yanakuja tz for hollidays, sijawahi kuona watanzania wakienda holliday wengi tunaenda likizo vijijini, fanya tu utafiti subiri december nenda kwenye mahoteli ya kitalii utakuta wakenya weusi wengi na familia zao wamekuja holliday tanzania, ilinishangaza sana …
Watanzania hatuna holiday iwe vijijini au mjini tunaenda kwenye misiba au kusalomia tena sio wote makabila machache ndo wana mila za kusalimia na kuzika makwao, Tz haina middle class tuna tabaka mbili watawala top class na watawaliwa peasants......hiyo middle class sioni popote tuna kitana wote magengeni kuninua vyakula vya nyumbani vya kila siku.
 
Mkuu ukitaka ripoti tunakuletea .
Kenya imeleta mabehewa mapya ya VVIP ambayo behewa moja litabeba mwisho abiria 28 tu na bei yake ndio hiyo tajwa 20k ya kikenya.
Ambayo kwa kwetu itakua chini ya hapo.
Sasa kwa nini mnabishana kama watoto wa primary school?
 
Back
Top Bottom