peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaIkiwa nauli ya SGR Treni ya mwendokasi ya Kenya inayotumia diesel mwa umbali wa Nairobi-Mombasa ni Tsh. 400,000 wakati Kwa umbali huo huo wa Dar-Makutopora Kwa SGR ya umeme ya Tanzania ni Tsh. 100,000.
Hata ungekuwa wewe ni Gen Z utaacha kuandamana kweli na kusema Ruto Must go?😂😂😂😂
--
Wizara ya Uchukuzi nchini Kenya imetangaza nauli ya treni ya abiria ya Reli ya Kisasa (SGR) ya Nairobi-Mombasa kwa tiketi ya daraja la juu (premium) kuwa Ksh 20,000 [TZS laki 4] kwa safari ya kwenda na kurudi.
Huduma zitakazotolewa ni pamoja na viti vya umeme vinavyoweza kukunjwa na kuzunguka, sehemu za kuchaji, sehemu maalum kwa ajili ya kunyonyesha na kubadilishia watoto, vyoo na vifaa vya usaidizi kwa ajili ya wazee na walemavu.
My Take
Tanzania ni Nchi ya maziwa na asali.
Maharagwe katumbuliwa tena na posta nako?Wewe utatumbuliwa lini?
Sisi wote ni watanzania nchi yetu tunaijua hamna cha emotion labda uwe ujinga tu. Unakuta wilaya nzima tanzania aina supermarket au Hotel ya 2star watu wote tuna kula magengeni, hapo middle class inao taka quality service uipate wapi?ishu ya tanzania vs kenya emotional ndo maana ili kupunguza emotions nimeamua kusema hivyo “middle class tz” …
Watanzania hatuna holiday iwe vijijini au mjini tunaenda kwenye misiba au kusalomia tena sio wote makabila machache ndo wana mila za kusalimia na kuzika makwao, Tz haina middle class tuna tabaka mbili watawala top class na watawaliwa peasants......hiyo middle class sioni popote tuna kitana wote magengeni kuninua vyakula vya nyumbani vya kila siku.
Bado choice variableMaharagwe katumbuliwa tena na posta?
Tanzania ni nchi peke ambao mtumishi wa ummah ana pesa kupita mfanya biashara wa kkoo, na haiko tayari kuacha kazi yake ya mshahara aendeshe Estate zake za ma billion, hapa kuna bourgeoisie class na peasant class tu, hamna middle class ambao inajulikana.uko sahihi kabisa na nakubaliana na wewe, hata utajiri wetu hauwezi kuuthibitisha kwa mfano nenda mbezi beach au sijui mbweni na masaki utakuta nyumba mpaka za bilion sh. lkn mwenye nyumba hana deni la hata thumni la hiyo nyumba na ni mwajiriwa wa serikali/ shirika la umma, hizo ni fedha zimechotwa kuyoka serikalini, fedha zilizopaswa kujenga shule, br., hosp, na mambo mengineyo …
Letu alijafika 40% ni chini kidogo ya hapo halafu kuna mazwazwa uwa wanawasifia wakenya,wakati pesa zao zinaliwa na wanasiasa hao gen z walikua wapi!Deni lao la taifa ni 70% wakati la kwetu ni 40% ndio maana gen Z wamekuwa mbogo
Hatuhitaji maisha ya Wazungu.Kwani kununua bidhaa supermarket ndio nini?Sisi wote ni watanzania nchi yetu tunaijua hamna cha emotion labda uwe ujinga tu. Unakuta wilaya nzima tanzania aina supermarket au Hotel ya 2star watu wote tuna kula magengeni, hapo middle class inao taka quality service uipate wapi?
Si mnawahonga wenyewe? By the way hakuna Nchi Ina Ufisadi kama Kenya unayoishabikia.Tanzania ni nchi peke ambao mtumishi wa ummah ana pesa kupita mfanya biashara wa kkoo, na haiko tayari kuacha kazi yake ya mshahara aendeshe Estate zake za ma billion, hapa kuna bourgeoisie class na peasant class tu, hamna middle class ambao inajulikana.
Si shabikie nchi ya Kenya ila ukweli lazima usemwe, hapa kwetu sio ufisadi ni kukwapua vitita vya pesa za ummah,......Si mnawahonga wenyewe? By the way hakuna Nchi Ina Ufisadi kama Kenya unayoishabikia.
Mkuu Ksh 20,000 unapata Tsh 400,000 haujajua ipi ina nguvu hapo..Hela ya nani Ina Nguvu hapo? Huoni Lakini yetu unayoita ya madafu inakupa Huduma Bora zaidi kushinda ya Kundustan?
Huyo jamaa ni muongo Wakenya hawawezi kutoa hiyo pesa kwa ajili ya usafiri nauli iliyopo pale ni sawa na Tsh 20,000 na si KSh 20,000 mazee..kaambiwa elfu ishirini yeye kaiweka kwenye hela ya kule..Bado haibadilishi maana. Thamani ni ile ile, alicho fanya yeye ni kuiweka katika thamani ya shilingi ya Tanzania. Hiyo 20k shilingi ya Kenya ukiwa huko kwao kuipata ni mtiti pia.
Kingine mleta uzi ni muongo muongo tu, hiyo nauli sio sahihi kabisa. Nimewahi kuwa huko na sikuwahi kuona hiyo nauli mpaka naondoka.