Nauli ya treni ya kasi Kenya ni Tsh. 400,000 wakati ya Tanzania ni Tsh. 100,000. Kwa nauli hizo Gen Z wapo sahihi

Wewe utatumbuliwa lini?
 
Attachments

  • IMG-20240723-WA0040.jpg
    160.2 KB · Views: 4
Sawa
 
ishu ya tanzania vs kenya emotional ndo maana ili kupunguza emotions nimeamua kusema hivyo “middle class tz” …
Sisi wote ni watanzania nchi yetu tunaijua hamna cha emotion labda uwe ujinga tu. Unakuta wilaya nzima tanzania aina supermarket au Hotel ya 2star watu wote tuna kula magengeni, hapo middle class inao taka quality service uipate wapi?
 
uko sahihi kabisa na nakubaliana na wewe, hata utajiri wetu hauwezi kuuthibitisha kwa mfano nenda mbezi beach au sijui mbweni na masaki utakuta nyumba mpaka za bilion sh. lkn mwenye nyumba hana deni la hata thumni la hiyo nyumba na ni mwajiriwa wa serikali/ shirika la umma, hizo ni fedha zimechotwa kutoka serikalini, fedha zilizopaswa kujenga shule, br., hosp, na mambo mengineyo …
 
Tanzania ni nchi peke ambao mtumishi wa ummah ana pesa kupita mfanya biashara wa kkoo, na haiko tayari kuacha kazi yake ya mshahara aendeshe Estate zake za ma billion, hapa kuna bourgeoisie class na peasant class tu, hamna middle class ambao inajulikana.
 
Sisi wote ni watanzania nchi yetu tunaijua hamna cha emotion labda uwe ujinga tu. Unakuta wilaya nzima tanzania aina supermarket au Hotel ya 2star watu wote tuna kula magengeni, hapo middle class inao taka quality service uipate wapi?
Hatuhitaji maisha ya Wazungu.Kwani kununua bidhaa supermarket ndio nini?
 
Si mnawahonga wenyewe? By the way hakuna Nchi Ina Ufisadi kama Kenya unayoishabikia.
 
Si mnawahonga wenyewe? By the way hakuna Nchi Ina Ufisadi kama Kenya unayoishabikia.
Si shabikie nchi ya Kenya ila ukweli lazima usemwe, hapa kwetu sio ufisadi ni kukwapua vitita vya pesa za ummah,......
 
Huyo jamaa ni muongo Wakenya hawawezi kutoa hiyo pesa kwa ajili ya usafiri nauli iliyopo pale ni sawa na Tsh 20,000 na si KSh 20,000 mazee..kaambiwa elfu ishirini yeye kaiweka kwenye hela ya kule..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…