Mallia
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 437
- 1,562
Ile nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali?
Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika.