Nauli ya Zanzibar kuwa Tsh 25,000 vigezo gani vimetumika?

Nauli ya Zanzibar kuwa Tsh 25,000 vigezo gani vimetumika?

kapande flying horse nauli elf 20,000 tu kwa mwendo wa kobe usiku mzima uko baharini,
kwa nauli hiyo na muda unaofika mbona sawa tu, watu wanatoka pangani zanzibar kwa elf 30 tanga znz kwa elf 40 sema unaanzia pemba kwanza hivo kwa hoja yako ulitaka wakuekee nauli sh ngapi mkuu??

we ukiona unaweza ogelea ni free
Dada wa zanfaries usiwe na hasira jamani

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Huo usafiri wa ndege duniani kote unajulikana, na ni kutokana na gharama nyingi zilizoko huko, hoja hapa ni kwenye usafiri wa majini, ki ukweli hizi gharama hapo hazina uhalisia kabisa na umbali, huo, hata kama labda ni kutokana na boat kuwa za kisasa lakini bado,
Una uzoefu wa kusafiri na boat maeneo mengine tofauti na Tanzania ?
 
Ile nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali? Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika.
Kama $10 na upuku puku.
Ila wakubaliwa kupiga kasia au kusubiri serikali yako iweke kivuko cha taifa
 
Back
Top Bottom