Mallia
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 437
- 1,562
- Thread starter
- #61
SanaaCha ajabu zaidi ni pale kwa safari hiohio mgeni amabye sio mTZ analipizwa $25, ni aibu sana kwa kweli
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaaCha ajabu zaidi ni pale kwa safari hiohio mgeni amabye sio mTZ analipizwa $25, ni aibu sana kwa kweli
Acha kudanganya umma wewe. Dar mpaka Unguja ni 120KM. Hata ingekuwa bus nauli isingepungua 5,000 Shs.Shida sio kuona shida ni hao Ewura
NB toka zenji hadi daslam ni 36Km ambapo kwa bas almost ni 2000 to 3000
Boti inapakia mizigo inalipiwa faida ipoMkuu angalia hii document
Engine ya Kilimanjaro ina Consume lita 500 mpaka 760 kwa lisaa limoja na hio boti ina Engine 2, na usafiri ni Around masaa 2.
Hapa tunaongelea lita 2000 mpaka 3000
Boti inapakiza watu kama 500 hivi.
Ukipiga hesabu hapo almost 50% ya gharama ni mafuta tu, bado gharama za serikali, kulipa wafanyakazi, kupaki bandarini, matengenezo ya Boat, manunuzi ya Boat etc.
Hivi urojo unakuwaga mtamu sana eeh
HhmDar mbeya kwa bus ni 40,000 kutokana na Bus ulilopanda,,,, Dar mbeya kwa ndege ni 240,000+ Kutokana na class,,,, Dar mbeya kwa treni ni 20,000+ (kutokana na class uliyopanda).
Dodoma kampuni moja ya Shabibby ina magari yana nauli tofauti tofauti ilihali umbali ni uleule....
Mkuu Zanzibar nauli hio itakuwa imezingatia,, Gharama za chombo,, uendeshaji(wafanyakazi), gharama za kuendesha chombo ,, Fuel consumption n.k.
Hakuna sehemu nimelinganisha na nauli ya basi mimi!!ninacho jiuliza mbona kuna kipindi kulikuwa na boti mwanza kwenda bukoba, nilisafiri kwa tsh.30, 000 na ni safari ya zaidi ya masaa 3?!!kabla hazijafanyiwa zengwe?!!kule hakuna manahodha, mainjinia?!!Boat Kwa Kila tkt serikali wanatoa zaidi ya 7,000/- achilia mbali Kodi na tozo zingine.
Kama ilivyo Kwa ndege, hauwezi kulinganisha Bei ya bus na boat.
Hali kadhalika mshahara wa nahodha, msaidizi wake, wale ma injinia, crew n.k.
Hizo gharama zote ukiziweka pamoja haziwezi kulingana na bus, lazima ziwe juu.
Na ni dk ngapi hadi Zanzibar?Ndege ndogo kuanzia 80,000-110,000.
Ndege kubwa unaweza kulipia Hadi 180,000/-
Tax ni kodi sasa utaikodi vipi kodi?Aah kukodi Tax...
Nadhani ni lugha tu ya maeneo... Lakini ukikodi kinachofuatia si kupanda?
Na ni dk ngapi hadi Zanzibar?
Hakuna sehemu nimelinganisha na nauli ya basi mimi!!ninacho jiuliza mbona kuna kipindi kulikuwa na boti mwanza kwenda bukoba, nilisafiri kwa tsh.30, 000 na ni safari ya zaidi ya masaa 3?!!kabla hazijafanyiwa zengwe?!!kule hakuna manahodha, mainjinia?!!
Pale kigoma kulikuwa na usafiri wa boti kwenda DRC, karibia masaa 5 majini lakini nauli ilikuwa tsh.40, 000!hapa iwe tsh.25, 000 hapana kuna sehemu sio sawa!!!
Taxi vs taxAah kukodi Tax...
Nadhani ni lugha tu ya maeneo... Lakini ukikodi kinachofuatia si kupanda?
Panastahili nauli ya zingiziwa - m/complex kilomita zipo sawaIle nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali?
Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika.
Aaah vimekuja na meli...Taxi vs tax
Mbona 7000 kubwa hivyoIlikuwepo ya 18k usiku. Na hata Sasa zipo 23k. Kadri boat inavyotumia muda mdogo ndivyo gharama inaongezeka ( speed boat). Hiyo namba ndio mojawapo nimekwambia serikali unachukua SI chini ya 7000 Kwa tkt Moja.
Kweli. Palifaa kuwa shs Alfu 15 tu1Ile nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali?
Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika.
Miguu italoa maji[emoji1787]Vuka kwa miguu mkuu.