Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Pole, haukupata mwalimu mzuri wa hiyo lugha.Aaah vimekuja na meli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole, haukupata mwalimu mzuri wa hiyo lugha.Aaah vimekuja na meli...
YaniJana nimemkatia mtu v.i.p elf 35 Ni dkt alikwenda kwenye semina
Ni ghli Sana sijapenda na akuna alternative au washindani wengi ktk hyo viasha na muda wa boti Ni saa moja saa sita .na saa kumi
Kampuni Ni mbil tu Zanzibar feri na Kilimanjaro expresView attachment 2153352
Ile nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali?
Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika.
Ukitoka Dar wafika Unguja kwanza ndo karibuHivi kwenda unguja lazma mpite Pemba au ni Moja Kwa Moja
Ukiruka Zanz kwa ndege dk 5 unaiona bandari ya ya Dar, ajabu nauli ni 90k hadi 105kIle nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali?
Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika.
Zanzibar port to Dar port 70kmsUmeshajiuliza kwanini nauli ya ndege Kwa safari hiyo hiyo laki 1 Hadi laki 1.7?
Dkk 10 hadi 15Kutoka Mwalimu Nyerere airport hadi Zanzibar ni dk ngapi kwa ndege?
Zanzibar port to Dar port 70kms
Hakuna sehemu nimelinganisha na nauli ya basi mimi!!ninacho jiuliza mbona kuna kipindi kulikuwa na boti mwanza kwenda bukoba, nilisafiri kwa tsh.30, 000 na ni safari ya zaidi ya masaa 3?!!kabla hazijafanyiwa zengwe?!!kule hakuna manahodha, mainjinia?!!
Pale kigoma kulikuwa na usafiri wa boti kwenda DRC, karibia masaa 5 majini lakini nauli ilikuwa tsh.40, 000!hapa iwe tsh.25, 000 hapana kuna sehemu sio sawa!!!
Maji ya lita 1.5 tulikuwa tunauziwa 1500 , sasa hv makampuni yameongezeka tunauziwa 500 , wakati wale wa heritage water wauza lita 1.5 kwa sh 300Biashara Kama haina ushindani hiyo ni fursa wenye uwezo wa kuweka vyombo vya usafiri lazima wanufaike ila kukiwa na ushindan mbona naul itarud kawaida tu
Mkuu bei hio ni fast boat tu kama Kilimanjaro.Hakuna sehemu nimelinganisha na nauli ya basi mimi!!ninacho jiuliza mbona kuna kipindi kulikuwa na boti mwanza kwenda bukoba, nilisafiri kwa tsh.30, 000 na ni safari ya zaidi ya masaa 3?!!kabla hazijafanyiwa zengwe?!!kule hakuna manahodha, mainjinia?!!
Pale kigoma kulikuwa na usafiri wa boti kwenda DRC, karibia masaa 5 majini lakini nauli ilikuwa tsh.40, 000!hapa iwe tsh.25, 000 hapana kuna sehemu sio sawa!!!
Huo usafiri wa ndege duniani kote unajulikana, na ni kutokana na gharama nyingi zilizoko huko, hoja hapa ni kwenye usafiri wa majini, ki ukweli hizi gharama hapo hazina uhalisia kabisa na umbali, huo, hata kama labda ni kutokana na boat kuwa za kisasa lakini bado,
Kutoka nyamisati kwenda Mafia km 105 masaa manner ni shilingi 16000 tu
BajajiUnaongelea nauli ya chombo gani?
Basi
Bodaboda
Tax
Ndege
Boti
Meli
Au nini????
Kiukwel bei iko juu, nikikumbuka naul ya mwanza ukerewe ni 7000 na Mnasafir masaa3.Yako majahazi yanaenda Kwa elf kumi mpaka elf Saba, pia kuna mashua na mitumbwi inaenda Kwa elf tano so ww Tu utaamua kupanda chombo gani
HV kuna boti ya moja kwa mojaUnguja ipo karibu na Dar, Pemba Iko karibu na Tanga. Kutoka Dar kwenda Unguja ni karibu kuliko kutoka Unguja kwenda Pemba.
Kama unaenda Pemba kutoka Dar, unapita Unguja kwanza ndio mnaelekea Pemba.
Hivi ile Flying horse inayosafiri usiku kucHa kwa bei ya bwelele bado ipo?Ile nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali?
Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika.
Lita 500??? Pale tunazungumza lita kama 2000 Kuendelea kwa saa ivi.Ni gharama za uendeshaji fuel consumption ya Boat iko juu si ajabu kwenda na kurudi Boat inatumia zaidi ya lt 500 Diesel.