Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Twapanda farasi...Anaongelea Tax! Kwenu mnapanda Tax?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twapanda farasi...Anaongelea Tax! Kwenu mnapanda Tax?
Hivi urojo unakuwaga mtamu sana eehView attachment 2152829
Way to zanzibar[emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2152838
Urojo wa forodhani[emoji91][emoji91][emoji91]
Ndioo!!ila sasa usilete habari za mbele huko!!ambako tunda la fenesi tu kama yale ya mkuranga linauzwa zaidi ya laki 3, wakati hapa ni buku 8 !!hata hapa Tanzania kuna sehemu nilisafiri kwa boti za kisasa kwa tsh.30, 000 lakini umbali ulikuwa ni kama masaa 3!!kabla fitini hazijaanza na usafiri kufa!!Una uzoefu wa kusafiri na boat maeneo mengine tofauti na Tanzania ?
Hoja yako haina mashiko bado!!kwani kwa Tz ni hapo tu dar-zenji ndio kumewahi kuwa na boti tu, kuna sehemu boti inachukua zaidi ya masaa 3, nilipa tsh.30, 000!!Kwenda Zenj,hutumii gari,unatumia boat yenye engine mbili za kuweza kusukuma maji,action and reaction,action force inayohitajika kusukuma maji ile chombo kiende mbele ni kubwa kuliko insyohitajikavkufana friction kwenye ground Ili gari litembee
Huo usafiri wa ndege duniani kote unajulikana, na ni kutokana na gharama nyingi zilizoko huko, hoja hapa ni kwenye usafiri wa majini, ki ukweli hizi gharama hapo hazina uhalisia kabisa na umbali, huo, hata kama labda ni kutokana na boat kuwa za kisasa lakini bado,
Ndege ndogo kuanzia 80,000-110,000.Kutoka Mwalimu Nyerere airport hadi Zanzibar ni dk ngapi kwa ndege?
Nijuavyo Tax ni kodi sasa u awezaje kuipanda?Twapanda farasi...
Chanika -Ferry nauli 700..Shida sio kuona shida ni hao Ewura
NB toka zenji hadi daslam ni 36Km ambapo kwa bas almost ni 2000 to 3000
Ile nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali?
Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika.
KweliHoja yako haina mashiko bado!!kwani kwa Tz ni hapo tu dar-zenji ndio kumewahi kuwa na boti tu, kuna sehemu boti inachukua zaidi ya masaa 3, nilipa tsh.30, 000!!
Umbali huo na nauli hiyo haviendani kabisa!!labda kama kuna gharama nyingine za nchi na nchi.
Umezingatia kilometer? Kule majini hakuna traffic ujueIle nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali?
Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika.
HahahahaVuka kwa miguu mkuu.
Aah kukodi Tax...Nijuavyo Tax ni kodi sasa u awezaje kuipanda?
Mkuu angalia hii documentIle nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali?
Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika.
KumbeMkuu angalia hii document
Engine ya Kilimanjaro ina Consume lita 500 mpaka 760 kwa lisaa limoja na hio boti ina Engine 2, na usafiri ni Around masaa 2.
Hapa tunaongelea lita 2000 mpaka 3000
Boti inapakiza watu kama 500 hivi.
Ukipiga hesabu hapo almost 50% ya gharama ni mafuta tu, bado gharama za serikali, kulipa wafanyakazi, kupaki bandarini, matengenezo ya Boat, manunuzi ya Boat etc.