Unaongelea nauli ya chombo gani?Ile nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali? Maana zenji ukitoka na boti tu bandari ya dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho , na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kodi jahazi ferry hapo ni 5000 tu wanakuvushaIle nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali? Maana zenji ukitoka na boti tu bandari ya dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho , na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Acha kulia lia hapa, kwani kupiga mbizi bei gani, si uanze kuogelea.Ile nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali? Maana zenji ukitoka na boti tu bandari ya dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho , na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Ni km 91 siyo 36Shida sio kuona shida ni hao Ewura
NB toka zenji hadi daslam ni 36Km ambapo kwa bas almost ni 2000 to 3000
Afisa masoko wa azam jibu kwa hojaAcha kulia lia hapa, kwani kupiga mbizi bei gani, si uanze kuogelea.
UrojooView attachment 2152829
Way to zanzibar[emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2152838
Urojo wa forodhani[emoji91][emoji91][emoji91]
Huo usafiri wa ndege duniani kote unajulikana, na ni kutokana na gharama nyingi zilizoko huko, hoja hapa ni kwenye usafiri wa majini, ki ukweli hizi gharama hapo hazina uhalisia kabisa na umbali, huo, hata kama labda ni kutokana na boat kuwa za kisasa lakini bado,Umeshajiuliza kwanini nauli ya ndege Kwa safari hiyo hiyo laki 1 Hadi laki 1.7?
Kutoka Mwalimu Nyerere airport hadi Zanzibar ni dk ngapi kwa ndege?Umeshajiuliza kwanini nauli ya ndege Kwa safari hiyo hiyo laki 1 Hadi laki 1.7?
Bado tunapigwa pale sio umbali wa 25,000 uleHuo usafiri wa ndege duniani kote unajulikana, na ni kutokana na gharama nyingi zilizoko huko, hoja hapa ni kwenye usafiri wa majini, ki ukweli hizi gharama hapo hazina uhalisia kabisa na umbali, huo, hata kama labda ni kutokana na boat kuwa za kisasa lakini bado,
20minKutoka Mwalimu nyerere airport hadi Zanzibar ni dk ngapi kwa ndege?
Safari ya Km zisizofika 40 ndege inatumia dk 20? 🙆 ni videge gani hivyo mkuu au hata Air Tanzania ya Rubondo?20min