Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,065
- 5,976
Ungetaja na maeneo hivi unajua Dar kuna maeneo nauli kutoka sehemu 1 kwenda nyingine sio chini ya 3000 na point tena ukiongeza umbali inabidi uongezee kibunda tena 4000 na point kwa huo umbali usiguse bodaboda au bajaji utalia si unaelewa hiloYaani Arusha ni mji ulio exceptional? Au huku ni nchi nyingine? Serikali kutwa inapambana kuwadhibiti Chadema huku wananchi wanaumizwa na hali ngumu ya maisha na kuibiwa na wamiliki wa daladal Arusha. Hii sio haki.
Poleni sana mkuu.Huku Arusha nauli za dalada ziko juu kuliko mji wowote Tanzania; kutoka kituo hadi kingine abiria wanalipishwa shilingi elfu moja [tsh.1,000/=], mkuu wa mkoa yupo, LATRA wapo, sasa mamlaka hizo [serikali] zinafanya kazi gani wakati kisheria nauli zinathibitiwa?
Yaani Arusha ni mji ulio exceptional? Au huku ni nchi nyingine? Serikali kutwa inapambana kuwadhibiti Chadema huku wananchi wanaumizwa na hali ngumu ya maisha na kuibiwa na wamiliki wa daladal Arusha. Hii sio haki.
Vv
Umesema Dar "kuna maeneo...", Arusha ni maeneo yote ya mjini kati kabisa, hayo ya nje ya mjib hali itakuwa mbaya zaidi.Ungetaja na maeneo hivi unajua Dar kuna maeneo nauli kutoka sehemu 1 kwenda nyingine sio chini ya 3000 na point tena ukiongeza umbali inabidi uongezee kibunda tena 4000 na point kwa huo umbali usiguse bodaboda au bajaji utalia si unaelewa hilo
Daladala walivyo andamana mkawasemaHuku Arusha nauli za dalada ziko juu kuliko mji wowote Tanzania; kutoka kituo hadi kingine abiria wanalipishwa shilingi elfu moja [tsh.1,000/=], mkuu wa mkoa yupo, LATRA wapo, sasa mamlaka hizo [serikali] zinafanya kazi gani wakati kisheria nauli zinathibitiwa?
Yaani Arusha ni mji ulio exceptional? Au huku ni nchi nyingine? Serikali kutwa inapambana kuwadhibiti Chadema huku wananchi wanaumizwa na hali ngumu ya maisha na kuibiwa na wamiliki wa daladal Arusha. Hii sio haki.
Vv
Ukiona hivyo ujue wote hao wana dala dalaHuku Arusha nauli za dalada ziko juu kuliko mji wowote Tanzania; kutoka kituo hadi kingine abiria wanalipishwa shilingi elfu moja [tsh.1,000/=], mkuu wa mkoa yupo, LATRA wapo, sasa mamlaka hizo [serikali] zinafanya kazi gani wakati kisheria nauli zinathibitiwa?
Yaani Arusha ni mji ulio exceptional? Au huku ni nchi nyingine? Serikali kutwa inapambana kuwadhibiti Chadema huku wananchi wanaumizwa na hali ngumu ya maisha na kuibiwa na wamiliki wa daladal Arusha. Hii sio haki.
Vv
Zile nauli latra walitangaza ni maalumu kwa dar tu ama maana huo sasa mtihani au nao wanadili na dar es salaam tu?Huku Arusha nauli za dalada ziko juu kuliko mji wowote Tanzania; kutoka kituo hadi kingine abiria wanalipishwa shilingi elfu moja [tsh.1,000/=], mkuu wa mkoa yupo, LATRA wapo, sasa mamlaka hizo [serikali] zinafanya kazi gani wakati kisheria nauli zinathibitiwa?
Yaani Arusha ni mji ulio exceptional? Au huku ni nchi nyingine? Serikali kutwa inapambana kuwadhibiti Chadema huku wananchi wanaumizwa na hali ngumu ya maisha na kuibiwa na wamiliki wa daladal Arusha. Hii sio haki.
Vv
Hizo nauli na ccm wanalipa?Huku Arusha nauli za dalada ziko juu kuliko mji wowote Tanzania; kutoka kituo hadi kingine abiria wanalipishwa shilingi elfu moja [tsh.1,000/=], mkuu wa mkoa yupo, LATRA wapo, sasa mamlaka hizo [serikali] zinafanya kazi gani wakati kisheria nauli zinathibitiwa?
Yaani Arusha ni mji ulio exceptional? Au huku ni nchi nyingine? Serikali kutwa inapambana kuwadhibiti Chadema huku wananchi wanaumizwa na hali ngumu ya maisha na kuibiwa na wamiliki wa daladal Arusha. Hii sio haki.
Vv
Mlipaswa mlipe shilingi ngapi mkuu?Huku Arusha nauli za dalada ziko juu kuliko mji wowote Tanzania; kutoka kituo hadi kingine abiria wanalipishwa shilingi elfu moja [tsh.1,000/=], mkuu wa mkoa yupo, LATRA wapo, sasa mamlaka hizo [serikali] zinafanya kazi gani wakati kisheria nauli zinathibitiwa?
Yaani Arusha ni mji ulio exceptional? Au huku ni nchi nyingine? Serikali kutwa inapambana kuwadhibiti Chadema huku wananchi wanaumizwa na hali ngumu ya maisha na kuibiwa na wamiliki wa daladal Arusha. Hii sio haki.
Vv
Changamoto engine,huwa watu wa Arusha mnajiita mabilionea na mji wenu ni wa watalii.Hamna wa kuwasemea maana mlilishwa nyama choma pale soko la kilombero na corridor area mkamchagua mpigaji badala ya mpambanaji
Hivi hao kina mwapopo mna mpango wa kuwapeleka mahakamani lini? Au hawaathiri sheria za nchi?Poleni sana mkuu.
Sisi kama serikali hamkutuchagua, hivyo mpigwe msipigwe hiyo haituhusu.
BTW, kwa sasa tuko busy na 7/7 na tunaangalia jinsi ya kuwaunga mkono pia kuongeza ushawishi kwa watu kama Mwaipopo.
Mwaipopo na kundi lake wanatusaidia sisi chama 'twawala', sasa tuwapeleke mahakamani kwa sababu gani.Hivi hao kina mwapopo mna mpango wa kuwapeleka mahakamani lini? Au hawaathiri sheria za nchi?
Na mkimaliza kutukula si mtakuwa mmejenga habit ya kula wengine? Kitakachofuata si mtakulana? Wenye akili wanasema usiwsfanyie mabaya wenzako sababu na nyie hampo salama hata kama mliokuwa mmewaonea hawapoMwaipopo na kundi lake wanatusaidia sisi chama 'twawala', sasa tuwapeleke mahakamani kwa sababu gani.
Nyie tulieni hivyo hivyo tuendelee kuwala...si hamna haja ya kudai haki zenu!?
Tunawazoom😎😎