The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ndugu zangu wahenga walishasema kuuliza siyo ujinga,, Mijadala inayoendelea nchini inanifanya niamini kuwa Magufuli yupo Chato anachunga Ng'ombe zake.
Nimatuamaini 2025 atarejea tena ulingoni maana washindani wake huku wamepamba moto , CCM wanamsema Magufuli, Chadema wanamsema Magufuli.
Sasa hawa CCM na CHADEMA Naona kila Dalili kuwa wataungana Pamoja kupambana na Magufuli 2025, huku watanzania tukiwa tumekufa wote kwa njaa, Mawe ndo yatapiga kura nahisi.