The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kupambana na marehemu hakukufanyi uwe mshindi. 99% wanaomsema ni wale waliokuwa naye. Mbona hawakuweza kutuambia akiwa hai na walikuwa jikoniMbona inawauama sana tukitaja maovu yaliyopita? Jana Samia hata hakumtaja hilo jitu, ila misukule yake sasa ndio inaanza kujaza server huku kumtetea
Nyie ndio mnapaswa kuambiwa lile jitu limekufa na halirudi tena kugombea 2025 hata mkilisafisha namna gani ni bure
Kupambana na marehemu hakukufanyi uwe mshindi. 99% wanaomsema ni wale waliokuwa naye. Mbona hawakuweza kutuambia akiwa hai na walikuwa jikoni
Hakuna mtu anayepambana nae, tunasema yaliyotokea ili tuyarekebisheKupambana na marehemu hakukufanyi uwe mshindi. 99% wanaomsema ni wale waliokuwa naye. Mbona hawakuweza kutuambia akiwa hai na walikuwa jikoni
Wewe ni kati ya watu wasio jielewa unaonyesha ni kiasi gani ulivyo kiazi na unatumia ubongo wa nguruwe 🐷,unapo sema jitu lenu limekufa una maanisha nini kwa kauli hiyo?Mbona inawauama sana tukitaja maovu yaliyopita? Jana Samia hata hakumtaja hilo jitu, ila misukule yake sasa ndio inaanza kujaza server huku kumtetea
Nyie ndio mnapaswa kuambiwa lile jitu limekufa na halirudi tena kugombea 2025 hata mkilisafisha namna gani ni bure
PointiHakuna mwanasiasa mwenye hofu na JPM. Uhalisia ni Serikali inaendeleza mazuri na inarekebisha ilipokosea sema kuna kakikundi uchwara kapo mtandaoni kila jambo kanalihusisha na JPM either kwa kumsifia au kupigana asichafuke ilihali hakuna wala anayemchafua bali serikali inajisahihisha tu.