Nzelu za bwino
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 400
- 484
Salaam wanajamvi,mm nauliza dawa nzuri yakuua nyasi kwenye shamba la kahawa bila kuathiri Miche ya kahawa.naomba kwa walionauzoefu au utaalam juu ya hili suala wanisaidie.nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante nashukuruTafuta dawa inaitwa yenye Oxyflourfen. Trade names kama Oniforce ni nzuri inafaa.
Kuna nchi kama Brazil wanapiga Glyphosate ila hakikisha haupigi kwenye mmea. Maana glyphosate ni nono selective.