Nzelu za bwino JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 400 Reaction score 484 Oct 19, 2024 #1 Salaam wanajamvi,mm nauliza dawa nzuri yakuua nyasi kwenye shamba la kahawa bila kuathiri Miche ya kahawa.naomba kwa walionauzoefu au utaalam juu ya hili suala wanisaidie.nawasilisha
Salaam wanajamvi,mm nauliza dawa nzuri yakuua nyasi kwenye shamba la kahawa bila kuathiri Miche ya kahawa.naomba kwa walionauzoefu au utaalam juu ya hili suala wanisaidie.nawasilisha
Sean Paul JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,330 Reaction score 3,289 Oct 20, 2024 #2 Tafuta dawa inaitwa yenye Oxyflourfen. Trade names kama Oniforce ni nzuri inafaa. Kuna nchi kama Brazil wanapiga Glyphosate ila hakikisha haupigi kwenye mmea. Maana glyphosate ni nono selective.
Tafuta dawa inaitwa yenye Oxyflourfen. Trade names kama Oniforce ni nzuri inafaa. Kuna nchi kama Brazil wanapiga Glyphosate ila hakikisha haupigi kwenye mmea. Maana glyphosate ni nono selective.
Nzelu za bwino JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 400 Reaction score 484 Oct 20, 2024 Thread starter #3 Sean Paul said: Tafuta dawa inaitwa yenye Oxyflourfen. Trade names kama Oniforce ni nzuri inafaa. Kuna nchi kama Brazil wanapiga Glyphosate ila hakikisha haupigi kwenye mmea. Maana glyphosate ni nono selective. Click to expand... Asante nashukuru
Sean Paul said: Tafuta dawa inaitwa yenye Oxyflourfen. Trade names kama Oniforce ni nzuri inafaa. Kuna nchi kama Brazil wanapiga Glyphosate ila hakikisha haupigi kwenye mmea. Maana glyphosate ni nono selective. Click to expand... Asante nashukuru