Nauliza hivi shule ya Sunshine Secondary kibaha wanapokea watoto wa kidato cha nne?

Nauliza hivi shule ya Sunshine Secondary kibaha wanapokea watoto wa kidato cha nne?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
I mean kumhamisha mwanafunzi kutoka shule nyingine kumpeleka Sunshine Sec Kibaha ahamie kidato cha nne dirisha la January 2024? Au hawapokeagi wanafunzi kuhamia kidato cha nne?
Vipi kuhusu ufaulu wao? Ada zao ni how much? Maadili?
 
Nenda pale shuleni majibu utayapata
 
Nenda pale shuleni majibu utayapata
Yes najua but kabla sijaenda nimeuliza kwanza hapa ili niwe na ABC zao kabla sjapenda. Namba zao napiga hazipokelewi nahisi sijui kwa kuwa ni jumapili leo. Ila kama kuna mtu ana info zao hapa please afunguke
 
Madarasa ya mitihan serikali haitoi uhamisho so acha kujitoa akili
 
Back
Top Bottom